-
Iran yaanza majaribio ya safari za ndege za mizigo zilizotengenezwa nyumbani
Oct 29, 2025 22:56Ndege ya Simorgh iliyotengenezwa Iran imeanza rasmi safari zake za majaribio huku ikijiandaa kujiunga na sekta ya usafirishaji mizigo hapa nchini.
-
Picha ya mwanajeshi wa Israel yafichua jinsi Wapalestina wanavyotumiwa kama ngao ya binadamu vitani
Oct 29, 2025 22:55Picha, inayoripotiwa kuchukuliwa na kuchapishwa na mwanajeshi wa Israel, imesababisha mshtuko mkubwa katika mitandao ya kijamii, ikithibitisha ripoti za jinsi utawala huo vamizi unavyowatumia wazee wa Palestina kama ngao za binadamu katika vita vya muda mrefu vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Mpango wa siri ulioshindwa: Marekani imejaribu kuajiri rubani wa Maduro ili kumkamata kiongozi wa Venezuela
Oct 29, 2025 22:55Ajenti wa Shirikisho la Marekani alijaribu kumsajili rubani binafsi wa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Jenerali Bitner Villegas, katika mpango wa siri, ili kuipeleka ndege ya rais huyo huko Marekani. Hayo yamefichuliwa na shirika la habari la Associated Press.
-
Mkutano wa ECO mjini Tehran; Ishara ya Utulivu, Uaminifu na Fursa Mpya za Uchumi
Oct 29, 2025 22:48Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.
-
Uchaguzi Mkuu Tanzania waendelea kwa amani licha ya machafuko ya hapa na pale
Oct 29, 2025 12:01Shughuli za upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa Tanaznia zimeendelea vizuri na kwa amani kwa kikasi kikubwa licha ya ghasia na machafuko madogo yanayoripotiwa huku na kule.
-
Israel yafanya mauaji ya kutisha Gaza; Zaidi ya Wapalestina 100, wakiwemo watoto 35, wauawa licha ya makubaliano ya amani
Oct 29, 2025 10:03Mashambulizi yaliyofanywa leo na Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza yameua Wapalestina wasiopungua 100, wakiwemo watoto 35, ukiwa ni ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Hamas na utawala huo ghasibu.
-
Wasiwasi wa mamilioni ya Wamarekani kuhusu upatikanaji wa chakula; Je, Marekani kweli ni nchi tajiri?
Oct 29, 2025 08:49Kadri mgogoro wa kifedha unavyoendelea Marekani, watu milioni 42 wa nchi hii wanahofia kuhusu upatikanaji wa chakula chao.
-
Ripoti: UAE inawapa waasi wa RSF silaha kutoka Uingereza
Oct 29, 2025 06:21Katika kile kinachoibua maswali mazito kuhusu usafirishaji wa silaha na ushawishi wa mataifa ya nje katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, ripoti mpya imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imewasambazia waasi wa RSF silaha na vifaa vya kijeshi vilivyotengenezwa Uingereza.
-
Ripoti ya Umoja wa Afrika: Tanzania yaongoza uchumi wa kanda, Kenya na Rwanda zikiachwa nyuma
Oct 29, 2025 05:39Uchumi wa Kenya umeendelea kusuasua ikilinganishwa na ule wa Tanzania katika eneo la Afrika Mashariki, hasa kutokana na utegemezi mkubwa wa mauzo ya bidhaa ghafi nje ya nchi jambo linalokwamisha ukuaji wa uchumi na kuongeza kiwango cha umaskini.
-
Wanajeshi 279 wa Israel wajaribu kujiua katika kipindi cha miezi 18 iliyopita
Oct 29, 2025 05:38Ripoti rasmi inaonyesha kuweko ongezeko la majaribio ya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.