-
Kumalizika muda wa Azimio 2231 la Baraza la Usalama; Iran yasisitiza kuondolewa vikwazo, yaungwa mkono na nchi 121
Oct 18, 2025 09:11Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikitangaza kumalizika muda wa Azimio nambari 2231.
-
Uhispania: Vikwazo vya silaha dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel vinaendelea
Oct 18, 2025 09:08Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kuwa, licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza, serikali ya Madrid itadumisha vikwazo vyake vya silaha dhidi ya Israel.
-
"Weupe wa Matumaini" - Maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani
Oct 18, 2025 05:41Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika makala yetu ya wiki hii ambayo tumewaandalia kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Vipofu na Fimbo Nyeupe Duniani; siku ya kusherehekea irada, uhuru na utu wa watu wasioona au vipofu na kuanzishwa jitihada za kisayansi, kiteknolojia na kijamii nchini Iran na ulimwenguni kwa ujumla ili kuwaandalia jamii ya watu hao maisha rahisi na bora zaidi.
-
Iran yakadhibisha madai kwamba inatishia usalama wa Uingereza
Oct 18, 2025 04:20Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umepinga vikali madai ya mkuu wa Shirika la Ujasusi la Ndani la Uingereza (MI5) kwamba Tehran inataka kutishia usalama wa Uingereza, na kuyataja madai hayo kuwa "yasiyo na msingi."
-
Iran yalaani mashambulizi ya karibuni ya Israel kusini mwa Lebanon
Oct 18, 2025 04:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya karibuni ya anga ya Israel kusini mwa Lebanon, na kuzibebesha dhima nchi zilizodhamini makubaliano ya kusitisha vita yaani Ufaransa na Marekani kwa kutoichukulia hatua Israel.
-
Yazdanian: Iran hurusha satelaiti sita angani kila mwaka
Oct 18, 2025 04:18Vahid Yazdanian Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Anga cha Iran ametangaza kuwa Iran imefanikiwa kurusha satelaiti sita angani kila mwaka, sambamba na kupiga hatua kubwa katika teknolojia ya kurusha satelaiti.
-
Chuo Kikuu cha Oxford chanufaika na makampuni yanayojishughulisha na uhalifu wa Israel
Oct 18, 2025 04:16Chuo Kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza, ambacho kwa muda mrefu kinajulikana kama kilele cha elimu duniani, kinachunguzwa vikali baada ya kubainika wazi kwamba kimefanya uwekezaji kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika makampuni yasiyopungua 49 yanayojihusisha na vitendo haramu vya Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kiongozi mkuu wa upinzani Guinea Bissau atupwa nje katika orodha ya mwisho ya uchaguzi
Oct 18, 2025 04:13Muungano mkuu wa upinzani nchini Guinea-Bissau na chama cha kihistoria cha PAIGC kilichoko ndani ya muungano huo havitashiriki kwenye uchaguzi wa uchaguzi wa rais na bunge wa mwezi Novemba mwaka huu.
-
Araqchi afanya mazungumzo na wenzake wa Msumbiji na Mali mjini Kampala
Oct 18, 2025 01:05Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Msumbiji na Jamhuri ya Mali wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pambizoni mwa Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini Kampala, Uganda.
-
Wimbi la chuki dhidi ya Israel laongezeka sambamba na kupungua uungaji mkono kwa Tel Aviv nchini Marekani
Oct 18, 2025 01:04Wimbi la chuki dhidi ya utawala haramu wa Israel limeongezeka katika maeneo mbalimbali duniani sambamba na kupungua himaya na uungaji mkono kwa utawala huo nchini Marekani.