-
Malori ya misaada yasubiri 'idhini ya Israel' Rafah ili yaingie Gaza
Oct 16, 2025 01:54Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel ili yaingize misaada hiyo ya dharura.
-
Pezeshkian: Maadui wanafurahi wanapoona nchi za Kiislamu zinagombana
Oct 15, 2025 23:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia madhara ya mizozo, ugomvi, vita na uadui baina ya nchi za Kiislamu na kusema kuwa, hivyo ndivyo anavyotaka adui bali hayo ndiyo matokeo ya njama za maadui wa Uislamu na za Uzayuni wa kimataifa. Maadui wa Umma wa Kiislamu daima wamekuwa wakifanya njama za kuzusha mifarakano na kuzidhoofisha nchi za Kiislamu.
-
Muqawama: Hatutaruhusu Palestina iwe ngome ya mamluki wa Kizayuni
Oct 15, 2025 22:58Makundi ya Muqawama ya Palestina yamepongeza operesheni ya kuzisafisha taasisi za usalama katika Ukanda wa Ghaza, na kutangaza kuwa Palestina kamwe haitakuwa kimbilio na ngome ya mamluki wa adui Mzayuni.
-
Uhispania yarindima kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Oct 15, 2025 22:57Makumi ya miji na mikoa kote Uhispania imeshuhudia maandamano makubwa na migomo ya umma ya mshikamano na watu wa Gaza . Migomo na maandamano hayo makubwa ya nchi nzima yalifanya jana Jumatano.
-
Mwanasiasa mkongwe Raila Odinga aombolezwa; Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo
Oct 15, 2025 22:57Rais William Ruto ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku saba kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amollo Odinga.
-
Mfalme wa Jordan: Asia Magharibi itakuwa na hatima mbaya bila kuundwa taifa la Palestina
Oct 15, 2025 22:56Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Watumiaji wa X: Mkutano wa Sharm al-Sheikh ulikuwa mkutano wa makubaliano ya amani ya kichekesho zaidi duniani
Oct 15, 2025 10:57Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
-
Araqchi aitaka NAM kukabiliana na maamuzi ya upande mmoja na ukiukaji sheria wa Marekani
Oct 15, 2025 09:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) ili kukabiliana na kuongezeka kwa misimamo ya upande mmoja na uvunjaji sheria unaofanywa na baadhi ya madola.
-
Mauzo ya chuma ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 26%
Oct 15, 2025 08:21Thamani ya mauzo ya madini ya chuma ya Iran ilipanda hadi karibu dola bilioni 4 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2025, na kuashiria ongezeko la asilimia 26 ya mauzo hayo kwa mwaka.
-
DRC, M23 zasaini makubaliano ya kubuni utaratibu wa usitishaji mapigano
Oct 15, 2025 08:12Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23 wametia saini makubaliano mjini Doha ya kuanzisha utaratibu wa ufuatiliaji na uhakiki wa usitishaji mapigano, chini ya upatanishi wa Qatar.