-
Raia 16 wauawa katika shambulio jipya la waasi mashariki mwa Kongo
Jul 24, 2026 02:45Rais wasiopungua 16, wakiwemo wachimbaji madini, wameuawa katika shambulio la hivi karibuni la waasi wanaoshukiwa kuwa wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika kijiji kimoja mkoani Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Iran iko tayari kuanzisha awamu mpya ya vita na kutumia mikakati mipya
Jul 24, 2026 02:42Msemaji wa jeshi la Iran jana Alhamisi alitahadharisha kuwa Tehran itatumia mikakati na mbinu mpya ili kuifanya Marekani ishindwe kuendeleza vita iwapo mashambulio ya nchi hiyo dhidi ya miundombinu ya kusini mwa Iran yataendelea.
-
Idadi ya vifo vya Ebola yazidi 1,000 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jul 24, 2026 02:40Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa sasa wa virusi vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia watu zaidi ya 1,000.
-
Iran yashambulia ngome za Marekani nchini Kuwait na Jordan yasema ni haki kisheria, kidini na kimantiki
Jul 23, 2026 11:53Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limethibitisha kufanya mashambulio dhidi ya vituo vya kijeshi vya Marekani nchini Kuwait na Jordan, likisisitiza kuwa kulenga kambi zinazotumiwa katika operesheni dhidi ya Iran ni “haki ya Iran ya kisheria, kidini, na kimantiki.”
-
Iran yaapa kulipiza kisasi iwapo Marekani itashambulia miundombinu
Jul 23, 2026 11:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameweka bayana msimamo thabiti wa Iran kwamba shambulio lolote dhidi ya miundombinu ya Iran litajibiwa kwa hatua stahiki na za maamuzi dhidi ya wachokozi na wale wote wanaowasaidia.
-
Viongozi wa Iran na Iraq wasisitiza kuimarisha mahusiano ya kimkakati
Jul 23, 2026 11:49Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wamesisitiza juu ya mafungamano marefu ya kihistoria, kiutamaduni, kidini, na ya kijamii yaliyopo baina ya nchi hizo mbili, wakibainisha ulazima wa kuhifadhi na kuimarisha rasilimali hii yenye thamani kuu kama nguzo imara ya kutanua ushirikiano wa kimkakati.
-
Rais wa Burkina Faso atoa tamko kuhusu mivutano ya madaraka nchini humo
Jul 23, 2026 11:47Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore, ametoa kauli nzito inayolenga kukomesha uvumi wa kuwepo kwa mivutano ya madaraka ndani ya safu za uongozi wake, akisisitiza dhamira yake ya kusalia kama kiongozi mkuu pekee wa taifa hilo. Traore aliwaambia viongozi wa jamii hivi karibuni mjini Ouahigouya, kaskazini mwa nchi hiyo kwamba: “Meli haiwezi kuwa na manahodha wawili,”
-
Trump anatafakari hujuma za kijeshi dhidi ya Mali, nchi yenye utajiri wa dhahabu
Jul 23, 2026 11:39Utawala wa Rais Donald Trump umeripotiwa kuanza kutafakari kutekeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Mali, nchi ya Afrika Magharibi ambayo ni maarufu kwa utajiri mkubwa wa dhahabu. Hatua hii, ikiidhinishwa, itaiongeza nchi hiyo katika orodha ndefu ya mataifa yaliyolengwa na Washington tangu Rais huyo mpenda vita kurejea madarakani mwaka jana.
-
Mashambulizi Makali ya Iran dhidi ya Vituo vya Marekani nchini Jordan
Jul 23, 2026 08:20Mashambulizi ya Iran dhidi ya vituo vya Marekani nchini Jordan yanachukuliwa kuwa miongoni mwa operesheni zilizofanikiwa zaidi katika mzozo wa kijeshi wa hivi karibuni kati ya Iran na Marekani.
-
Hatua ya Yemen ya Kuiwekea Saudi Arabia Mzingiro wa Majini: Sababu na Matokeo
Jul 23, 2026 07:15Msemaji wa Jeshi la Yemen ametangaza marufuku ya usafiri wa meli na kuweka mzingiro wa majini dhidi ya Saudi Arabia, kwa kuzingatia kanuni ya "mzingiro kwa mzingiro."