-
Dkt. Pezeshkian: Hakuna sababu wala mpaka unaoweza kuvunja uhusiano wa Iran na Iraq
Jul 23, 2026 03:15Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, amesema kuwa hakuna sababu yoyote wala mipaka ya kijiografia inayoweza kuvunja uhusiano wa kindugu na wa kihistoria uliopo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.
-
Mkuu wa Majeshi Iran aionya Marekani kuhusu hujuma ya kijeshi ya nchi kavu
Jul 23, 2026 03:07Mkuu wa Majeshi ya Iran, Meja Jenerali Amir Hatami, ametoa onyo kali kwamba uvamizi wowote wa nchi kavu wa jeshi la Marekani utakabiliwa na jibu la kijeshi la kuangamiza. Amesisitiza kuwa mamilioni ya Wairani wako tayari kuwakabili wavamizi kwa kila nyenzo waliyo nayo, huku Majeshi ya Ulinzi yakiwa katika utayari wa hali ya juu dhidi ya uchokozi wowote.
-
Ripoti: Tathmini ya CIA yakiri hujuma za Marekani dhidi ya Iran zimeshindwa
Jul 23, 2026 02:53Tathmini mpya ya kiintelijensia ya Marekani imetoa pigo kubwa kwa propaganda za kivita za utawala wa Donald Trump, kwa kuhitimisha kwamba kuendelezwa kwa uchokozi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hakutaweza kufanikisha malengo yoyote yaliyotangazwa na Ikulu ya White House.
-
Africa CDA: Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola DRC unaenea kwa kasi ya kutisha
Jul 23, 2026 02:49Mkurugenzi Mkuu wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC) ametoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za haraka ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuenea kwa kasi ya kutisha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Mamdani ataka Marekani imkamate Netanyahu kwa uhalifu wa kivita
Jul 23, 2026 02:46Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amemtaja Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni mhalifu wa kivita, na kuitaka serikali ya Marekani kutekeleza hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iwapo atatia mguu katika ardhi ya Marekani.
-
Minab yazika vipande 62 vya miili ya watoto 32 waliouawa katika mashambulizi ya Marekani Februari 28 shuleni
Jul 22, 2026 11:54Zaidi ya vipande 62 vya miili ya wanafunzi 32 waliouawa katika shambulio la anga la Marekani katika Shule ya Msingi ya Shajareh Tayyebeh huko Minab kusini mwa Iran vimetambuliwa kupitia vipimo vya vinasaba (DNA) na kuzikwa, karibu miezi mitano baada ya mashambulizi yaliyoua wanafunzi na walimu wao wasiopungua 168.
-
Vyombo vya habari Marekani: Trump anataka kumteua rais wa FIFA kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Jul 22, 2026 10:19Rais wa Marekani, Donald Trump, anataka kumteua Rais wa FIFA, Gianni Infantino katika nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
-
Rais Pezeshkian: Katu hatutalegeza kamba kuhusu haki za taifa la Iran
Jul 22, 2026 09:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa mazungumzo yaliyofanyika kati ya Iran na Marekani yalianzishwa kwa kuzingatia misingi ya heshima, maslahi ya taifa, busara na hadhi ya Iran.
-
Baqaei akosoa utovu wa shukrani wa Kuwait na hatua yake ya kuwapokea maadui wa Iran
Jul 22, 2026 09:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, ameikosoa serikali ya Kuwait kwa kile alichokiita kutokuwa na shukrani nchi hiyo na kuwakaribisha maadui wa Iran licha ya uhusiano wa ujirani uliopo kati ya nchi hizo.
-
Uholanzi yatangaza kususia bidhaa zinazotoka Israel
Jul 22, 2026 09:47Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, serikali ya Uholanzi imeamua kupiga marufuku uingizaji, ununuzi na uuzaji wa bidhaa zinazozalishwa katika maeneo ya vitongozi haramu vya walowezi wa utawala wa Kizayuni.