-
Makundi ya Ulaya yanayopinga ubeberu yawasili Iran kwa mazishi ya Kiongozi Shahidi
Jul 03, 2026 03:53Misafara ya wanaharakati wanaopinga ubeberu, wasomi, waandishi wa habari na wawakilishi wa vituo vya Kiislamu kutoka kote barani Ulaya inaendelea kuwasili Tehran kushiriki katika mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliyeuawa shahidi katika shambulizi la kushtukiza la Marekani na Israel.
-
Pezeshkian: Mahudhurio makubwa katika mazishi ya Kiongozi Shahidi ni ‘jibu madhubuti’ kwa ubeberu na ugaidi
Jul 03, 2026 03:51Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa umati mkubwa wa wananchi utakaojitokeza katika shughuli ya mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, utakuwa “jibu madhubuti” dhidi ya vitendo vya kigaidi, ukatili na mbinu za kibeberu. Amesema kuwa tukio hilo litakuwa dhihirisho la wazi la umoja wa taifa la Iran na dhamira yake isiyotetereka katika kulinda uhuru na heshima ya nchi.
-
Onyo kali la Majeshi ya Iran: Uchokozi wa Marekani katika Lango la Hormuz utajibiwa haraka
Jul 03, 2026 03:45Kamandi Kuu ya Majeshi ya Iran, maarufu kama Kamandi ya Khatam al-Anbiya, imetoa onyo kali kuwa, uingiliaji wowote wa kijeshi wa Marekani katika Lango Bahari la Hormuz utajibiwa kwa kasi na maamuzi madhubuti na vikosi vya ulinzi vya Iran, huku ikisisitiza kuwa njia hiyo muhimu ya bahari iko chini ya mamlaka kamili ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Israel yatuma zana za kijeshi Somalia kupitia Nairobi
Jul 03, 2026 03:29Vyanzo vya ngazi ya juu vya kimkakati katika kanda vimeeleza kuwa shehena ya zana za kijeshi iliyotoka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel imesafirishwa hadi Somalia kwa jina la ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN).
-
Spika wa Bunge la Iran awahimiza Wairani kuhudhuria mazishi ya Kiongozi shahidi na kudai kisasi
Jul 02, 2026 11:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewatolea wito wananchi kuhudhuria shughuli zijazo za mazishi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, na kutaka kulipizwa kisasi damu safi ya Kiongozi huyo aliyeuawa shahidi.
-
Salehi: Waandishi wa habari wa kigeni 600 kuripoti mazishi ya Ayatullah Khamenei
Jul 02, 2026 11:49Abbas Salehi Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema kuwa takriban waandishi habari na wawakilishi wa vyombo vya habari 600 kutoka nje ya nchi wataripoti shughuli ya mazishi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, yaliyopangwa kufanyika kuanzia tarehe 4 hadi 9 mwezi huu wa Julai.
-
Wanajeshi katili wa Israel wamuuwa kipa Mpalestina huko Gaza
Jul 02, 2026 11:43Wanajeshi wa Israel wameuuwa shahidi kwa risasi kipa wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuifanya idadi ya wanamichezo waliouliwa shahidi na jeshi la Israel kufikia 1,009.
-
Wananchi wa Algeria washiriki uchaguzi wa pili wa Bunge tangu maandamano ya mwaka 2019
Jul 02, 2026 11:41Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo kote nchini Algeria kwa ajili ya uchaguzi wa pili wa Bunge tangu baada ya maandamano makubwa mwaka 2019 yaliyopelekea kujiuzulu Rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika.
-
ICC 'yahofia' kuhusu kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na Niger
Jul 02, 2026 11:35Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeeleza wasiwasi wake kuhusu kujiondoa Mali, Burkina Faso na Niger kwenye mahakama hiyo, ikisema kunadhoofisha harakati za kimataifa za kutafuta haki.
-
Namna Watoto Wachanga wa Kipalestina Walivyogeuzwa Kuwa Walengwa wa Jinai za Kivita
Jul 02, 2026 10:36Ripoti mpya ya Tume Huru ya Kimataifa ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel imefichua mwelekeo mpya wa vita kwa kuwasilisha ushahidi wa kulengwa kimfumo watoto wachanga huko Gaza.