-
Siku ya Mashahidi wa Uimara na Umoja wa Kitaifa
Jul 02, 2026 07:59Natumai hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kuwa nami katika Makala yetu ya Wiki, ambayo kwa juma hili, itaangazia maadhimisho, ya Siku ya Mashahidi wa Uimara na Umoja wa Kitaifa.
-
Zaidi ya nchi 90 zatangaza utayarifu wa kuhudhuria mazishi ya Kiongozi shahidi wa Iran
Jul 02, 2026 03:49Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 90, pamoja na viongozi wa kidini, wasomi na watu mashuhuri kutoka kote duniani, wametangaza utayarifu wao wa kuhudhuria mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Iran yaapa kulipiza kisasi 'damu safi ya Kiongozi aliyeuawa shahidi kwa wakati unaofaa'
Jul 02, 2026 03:47Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran limetangaza kuwa wahusika wa uhalifu na mauaji dhidi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei na watu wa Iran watakabiliwa na adhabu "kwa wakati unaofaa" kutoka kwa "viumbe waadilifu," huku nchi hii ikijiandaa kwa mazishi ya Imam Sayyid Ali Khamenei.
-
China: Vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran vinapaswa kuondolewa haraka iwezekanavyo
Jul 02, 2026 03:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China, Guo Jiakun, amesisitiza umuhimu wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo vya upande mmoja vilivyowekwa dhidi ya Iran, huku akikaribisha uwezekano wa kuondolewa vikwazo na masharti yaliyowekwa dhidi ya Tehran.
-
Bayer, kampuni ya Ujerumani, yahusishwa na silaha za kemikali za Israel nchini Lebanon
Jul 02, 2026 03:25Kampuni kubwa ya dawa na kemikali ya Ujerumani, Bayer, imeshutumiwa kwa kusambaza fosforasi nyeupe na glyphosate inayotumiwa na jeshi la Israel katika mashambulizi yake nchini Lebanon, na kuibua maswali mapya kuhusu mnyororo wa usambazaji wa silaha zilizopigwa marufuku zinazotumika katika uchokozi huo kuua raia wa Lebanon.
-
Ripoti ya Amnesty: RSF imefanya maangamizi ya kikabila nchini Sudan
Jul 02, 2026 03:22Kikosi cha Msaada wa Haraka nchini Sudan (RSF) kilitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu na maangamizi ya kikabila wakati wa mashambulizi yake katika mji wa El-Fasher kati ya 2024 na 2025.
-
Lamerd iligeuzwa vipi kuwa uwanja wa majaribio ya silaha za maangamizi ya umati za Marekani?
Jul 01, 2026 12:02Takriban miezi mitatu imepita tangu kumalizika kwa uvamizi wa kijeshi wa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel katika ardhi ya Iran, lakini kila siku, na kufuatia kuchapishwa nyaraka mpya na picha pamoja na simulizi tofauti, viwango vipya vya jinai za wavamizi hao vinafichuliwa.
-
Mtaalamu wa Uislamu Kenya: Urithi wa Ayatullah Ali Khamenei katika kusimama kidete utaendelea kuwa dira
Jul 01, 2026 10:24Mtaalamu wa masuala ya Kiislamu kutoka Kenya katika mahojiano na Pars Today: Urithi wa Ayatullah Khamenei unaelekeza mwelekeo wa nchi za Kusini mwa Dunia katika harakati za kulinda heshima na uhuru wao.
-
Pezeshkian na Narendra Modi wasisitiza kuimarisha ushirikiano wa nchi zao
Jul 01, 2026 10:23Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa India wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kukuza na kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
-
Qalibaf: Hakutakuwa na mazungumzo mapya na Marekani kabla ya kutekeleza ahadi zake
Jul 01, 2026 10:20Mkuu wa timu ya Iran ya mazungumzo na Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaingia katika mazungumzo yoyote mapya na Marekani mpaka masharti yote yaliyomo katika hati ya makubaliano ya maelewano iliyopo yatakapotekelezwa kikamilifu.