-
SAUTI, Burundi: Hatutakubali ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam dhidi yetu kwani ni njama
Mar 23, 2017 13:36Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam imekusudia kuanzisha uchunguzi juu ya ukiukaji haki za binaadamu nchini Burundi kupitia nchi za jirani zilowapokea wakimbizi wa taifa hilo.
-
Mwandishi aliposhambuliwa kwa kombora akiwa hewani mubashara
Mar 20, 2017 07:53Mwandishi wa televisheni ya al Alam, Haydar Qassim amejeruhiwa mguuni baada ya eneo alipokuwa anatoa ripoti yake kwa sura ya mubashara kushambuliwa kwa kombora na magaidi wa Daesh, magharibi mwa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
NASA yatakiwa kutumia mfumo wa mlolongo kumteua mgombea urais Kenya
Mar 16, 2017 10:55Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetakiwa kutumia mfumo wa upigaji kura wa mlolongo kumteua mgomea kiti cha urais.
-
SAUTI, Polisi ya Uganda: Tumewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria ambao ni wanafunzi kwa madawa ya kulevya
Mar 16, 2017 03:14Polisi nchini Uganda, imewatia mbaroni raia watatu wa Nigeria kwa kuhusishwa na utumiaji na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
-
SAUTI: Rais Kenyatta: Sitomtusi mtu tena, mimi ni binaadamu, Lakini mpinzani atakayenichokoza atapata jibu lake kali
Mar 12, 2017 14:25Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba radhi raia wa nchi hiyo kwa kutumia lugha ya matusi, katika kukabiliana na wapinzani wake majukwaani.
-
SAUTI: Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mazishi ya mama yake rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na masuala mengine ya Kiislamu
Mar 10, 2017 15:03Wiki hii rais mtaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alifiwa na mama yake mlezi.
-
SAUTI: Kufuatia Rais Kenyatta wa Kenya kujibizana vikali na kiongozi wa upinzani, sasa viongozi wa kisiasa watakiwa kuwa na subira
Mar 10, 2017 13:51Muungano wa viongozi wa kidini nchini Kenya umetoa tahadhari ya kudhibiti ndimi za wanasiasa kunako kutoa maneno ya uchochezi pale wawapo majukwaani.
-
SAUTI: Hatimaye kasisi anayejiita Nabii huko Kongo DR, ajisalimisha kwa polisi baada ya kumtusi Rais Kabila kuwa sio raia wa nchi hiyo
Mar 04, 2017 15:04Mbunge na kiongozi wa Kanisa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anajitaja kuwa ni nabii wa Mungu, Bwana, Ne Muanda Nsemi, amejitokeza hadharani baada ya kuwa mafichoni kwa wiki kadhaa, kufuatia kanisa lake kuzingirwa na jeshi la polisi la nchi hiyo.
-
SAUTI: Uganda na Ethiopia zazungumzia kadhia ya migogoro ya matumizi ya maji ya mto Nile
Mar 04, 2017 14:38Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amefanya safari ya siku tatu nchini Uganda, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi
Mar 02, 2017 14:56Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.