-
Uchaguzi mkuu nchini Kenya
Aug 08, 2017 05:58Raia wa Kenya waliotimiza masharti ya kupiga kura Jumanne ya leo wameelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake katika uchaguzi ambao unatajwa kuwa na ushindani mkubwa.
-
UN: Tunafuatilia kwa karibu uchaguzi wa Kenya
Aug 08, 2017 03:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo unafuatilia kwa karibu zoezi la uchaguzi mkuu linalofanyika hii leo nchini Kenya.
-
Igad yataka kufanyika uchaguzi wa amani Kenya
Aug 08, 2017 00:09Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiserikali wa Nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika (Igad) imewatolea wito washika dau wote katika uchaguzi mkuu wa Kenya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa leo unafanyika kwa amani na utulivu.
-
Wakenya wakusanya akiba ya chakula kabla ya uchaguzi mkuu kesho Jumanne
Aug 07, 2017 12:11Wananchi wa Kenya ambao wamejawa na wasiwasi leo wamekuwa wakikusanya na kujiwekea akiba ya chakula huku polisi wakiwa tayari wameandaa masanduku ya huduma ya kwanza siku moja kabla ya uchaguzi mku wa kesho ambao wengi wanahofu kwamba huwenda ukaitumbukiza tena nchi hiyo katika hali ya mchafukoge.
-
Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018
Aug 06, 2017 02:34Kinara wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ametangaza kuungana na wapambe wake wa zamani kwa shabaha ya kuunda muungano mmoja wenye nguvu ili waweze kumundoa madarakani Rais Robert Mugabe katika uchaguzi mkuu mwakani.
-
Kenya yamtimua mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani, alifanya kazi na NASA
Aug 05, 2017 09:58Polisi ya Kenya uimemtia nguvuni na kumtimua nchini humo mtaalamu wa data za uchaguzi wa Marekani na mwenzake wa Canada waliokuwa wakifanya kazi na muungano wa upinzani wa Nasa, zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 8.
-
Wanyarwanda wamkabidhi tena Paul Kagame usukani wa kuongoza nchi yao
Aug 05, 2017 08:32Paul Kagame, Rais wa sasa wa Rwanda amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka saba baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika jana kote nchini humo.
-
AU: Wakenya wanataka uchaguzi huru, wa haki na wenye uwazi
Aug 05, 2017 03:41Rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye anaongoza timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika AU nchini Kenya amesema wananchi wa taifa hilo la Afrika Mashariki wanataka kuona zoezi hilo la Jumanne ijayo linafanyika katika mazingira huru, yenye haki na uwazi.
-
Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda
Aug 04, 2017 23:15Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Rwanda yameonyesha kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo amehifadhi kiti chake baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa.
-
Wanyarwanda wanamchagua rais mpya leo
Aug 04, 2017 00:19Raia wa Rwanda leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais mpya wa nchi hiyo. Watu wanaokadiriwa kuwa milioni 6.8 wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo ambalo lilianza jana kwa kupiga kura wanyarwanda wanaoishi nje ya nchi.