Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini

    Machafuko ya kabla ya uchaguzi Afrika Kusini

    Jun 23, 2016 03:00

    Machafuko na ghasia zimeripotiwa kupamba moto katika kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini.

  • Kuendelea maandamano dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya, IEBC

    Kuendelea maandamano dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya, IEBC

    May 24, 2016 06:31

    Watu watatu waliuawa Jumatatu nchini Kenya katika maandamano yaliyofanyika katika pembe tofauti za nchi hiyo dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC.

  • Bunge la Somalia latakiwa kuidhinisha uchaguzi wa rais

    Bunge la Somalia latakiwa kuidhinisha uchaguzi wa rais

    May 22, 2016 11:51

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na nchi wafadhili za Magharibi zimelitaka Bunge la Somalia kuharakisha mchakato wa kufanyika uchaguzi mkuu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Umoja wa Mataifa waunga mkono uchaguzi wa rais Somalia

    Umoja wa Mataifa waunga mkono uchaguzi wa rais Somalia

    May 17, 2016 09:25

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema linaunga mkono kikamilifu mpango wa kufanyika uchaguzi mkuu nchini Somalia.

  • Mahakama ya Katiba Comoro yaidhinisha ushindi wa Kamanda Azali Assoumani

    Mahakama ya Katiba Comoro yaidhinisha ushindi wa Kamanda Azali Assoumani

    May 15, 2016 23:08

    Mahakama ya Katiba nchini Comoro imemtangaza Kamanda Azali Assoumani kuwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais katika visiwa hivyo.

  • Baraza la Katiba la Chad laidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyomrejesha madarakani Rais Deby

    Baraza la Katiba la Chad laidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyomrejesha madarakani Rais Deby

    May 03, 2016 23:53

    Baraza la Katiba la Chad limeidhinisha matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika nchini humo Aprili 10 ya mwezi uliopita na kumrejesha tena madarakani Rais Idriss Deby wa nchi hiyo.

  • Uchaguzi wa Rais katika visiwa vya Comoro kurejewa katika baadhi ya maeneo

    Uchaguzi wa Rais katika visiwa vya Comoro kurejewa katika baadhi ya maeneo

    May 01, 2016 03:11

    Mahakama ya Katiba katika visiwa vya Comoro imetoa amri ya kurejewa uchaguzi wa Rais katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

  • Rais wa Equitorial Guinea ahifadhi kiti chake kwa kupata 98% ya kura

    Rais wa Equitorial Guinea ahifadhi kiti chake kwa kupata 98% ya kura

    Apr 26, 2016 03:53

    Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Equitorial Guinea yanaonyesha kuwa Rais Teodoro Obiang Nguema ameshinda kiti hicho kwa kupata asilimia 98 ya kura zilizopigwa.

  • Wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wataka kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu

    Wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wataka kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu

    Apr 25, 2016 02:25

    Wapinzani wa serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametoa wito wa kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

  • AU: Uchaguzi wa Djibouti ulikuwa  huru na wa haki

    AU: Uchaguzi wa Djibouti ulikuwa huru na wa haki

    Apr 11, 2016 03:33

    Licha ya lalama kutoka vyama vya upinzani, lakini Umoja wa Afrika AU umesema uchaguzi mkuu wa Djibouti wa Ijumaa iliyopita ulikuwa huru na wa haki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS