-
Upinzani Djibouti: Kulikuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi wa rais
Apr 10, 2016 03:21Viongozi wa upinzani nchini Djibouti wametangaza kutotambua ushindi wa Rais Ismail Omar Guelleh katika uchaguzi mkuu uliofanyika Ijumaa iliyopita.
-
Uchaguzi wa rais Djibouti, baadhi ya wakuu wa upinzani waususia
Apr 08, 2016 04:36Wananchi wa Djibouti waliotimiza mashari ya kupiga kura leo wameelekea kwenye masanduku ya kupiga kura kumchagua rais mpya, katika uchaguzi ambao aghalabu ya vyama vya upinzani nchini humo vimeususia.
-
Mahakama ya Juu Uganda yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Museveni
Mar 31, 2016 09:33Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa zamani nchini humo Amama Mbabazi ya kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa rais wa Februari mwaka huu.
-
UN yasisitiza udharura wa kufanyika mazungumzo DRC
Mar 24, 2016 03:38Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuna udharura wa kufanyika mazungumzo baina ya wanasiasa wa nchi hiyo kwa shabaha ya kukomesha hitilafu za ndani.
-
Mgombea mwingine wa rais Marekani afuata nyayo za Trump
Mar 23, 2016 02:57Mgombea wa kiti cha rais kupitia chama cha Republican Ted Cruz amependekeza kuazishwa msako mkali dhidi ya wafuasi wa dini ya Kiislamu eti kwa shabaha ya kuwazuia ‘wasiingie kwenye kundi la wenye misimamo iliyofurutu ada’.
-
Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia
Mar 21, 2016 11:45Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imemtangaza mgombea wa kiti cha rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dakta Ali Muhammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.
-
Chaguzi sita zafanyika Afrika leo
Mar 20, 2016 12:39Leo kumekuwa na upigaji kurakatika nchi sita za Afrika yaani nchini Kongo Brazzaville, Benin, Niger, Cape Verde, Visiwani Zanzibar nchini Tanzania na kura ya maoni nchini Senegal.
-
Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi Zanzibar
Mar 20, 2016 12:21Zoezi la kuhesabu kura linaendelea visiwani Zanzibar baada ya uchaguzi kufuatia matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 kufutwa na tume ya uchaguzi ya visiwa hivyo ZEC.
-
Duru ya pili uchaguzi wa rais Niger bila mpinzani
Mar 20, 2016 12:05Duru ya pili ya kiti cha rais nchini Niger imefanyika leo huku kukiwa na hali tete ya usalama na wapinzani wakisusia zoezi hilo na mgombea wa pili akiwa anapata matibabu Ufaransa.
-
Serikali ya Congo Brazzaville yayataka mashirika ya simu kukata mawasiliano wakati wa uchaguzi hapo kesho
Mar 19, 2016 13:16Serikali ya Jamhuri ya Congo Brazzaville imeyataka mashirika mawili makubwa ya simu nchini humo kukata mawasiliano yote wakati wa kufanyika uchaguzi wa Rais hapo kesho.