Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Kuibuka mshindi Abdul-Fattah al-Sisi na kuendelea kushika hatamu za uongozi wa Misri

    Kuibuka mshindi Abdul-Fattah al-Sisi na kuendelea kushika hatamu za uongozi wa Misri

    Apr 03, 2018 21:59

    Rais Abdul Fattah al-Sisi ametangazwa mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Misri baada ya kujipatia kura milioni 21 sawa na asilimia 97.08 ya kura zote na hivyo kupata ridhaa ya kuiongoza tena nchi hiyo kwa muhula wa pili.

  • UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    Mar 31, 2018 23:39

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ni hatari kufanyika uchaguzi katika mazingira ya hivi sasa nchini Libya.

  • Ripoti: Vijana wamesusia uchaguzi wa rais Misri

    Ripoti: Vijana wamesusia uchaguzi wa rais Misri

    Mar 29, 2018 23:00

    Ripoti zinaonesha kuwa, idadi kubwa ya vijana wa Misri hawakupiga kura katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

  • Mahakama ya Juu Sierra Leone yasogeza mbele tarehe ya uchaguzi

    Mahakama ya Juu Sierra Leone yasogeza mbele tarehe ya uchaguzi

    Mar 27, 2018 02:56

    Mahakama ya Juu ya Sierra Leone imeakhirisha tarehe ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais hadi Machi 31.

  • Sierra Leone kuendelea na duru ya pili ya uchaguzi licha ya agizo la mahakama

    Sierra Leone kuendelea na duru ya pili ya uchaguzi licha ya agizo la mahakama

    Mar 25, 2018 06:23

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Sierra Leone NEC imesema duru ya pili ya uchaguzi wa rais itafanyika kama ilivyopangwa, licha ya agizo la hivi karibuni la mahakama.

  • Rais Mnangagwa ashangazwa na kusajiliwa vyama 112 vya siasa Zimbabwe

    Rais Mnangagwa ashangazwa na kusajiliwa vyama 112 vya siasa Zimbabwe

    Mar 23, 2018 02:56

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameeleza kushtushwa na ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo imesajili makumi ya vyama vya siasa vitakavyochuana na chama tawala Zanu-PF katika uchaguzi mkuu ujao.

  • Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya

    Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya

    Mar 20, 2018 04:31

    Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa Libya ameandikisha jina lake la kuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.

  • Rais Putin: Russia haiko katika mashindano ya silaha na nchi za Magharibi

    Rais Putin: Russia haiko katika mashindano ya silaha na nchi za Magharibi

    Mar 20, 2018 00:55

    Rais Vladmir Putin wa Russia ametangaza kwamba, nchi yake haiko katika mashindano ya silaha na nchi za Marekani na Magharibi.

  • Putin apata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais Russia

    Putin apata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais Russia

    Mar 19, 2018 00:52

    Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Russia baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliofanyika jana.

  • UN yaunga mkono kufanyika uchaguzi Julai nchini Zimbabwe

    UN yaunga mkono kufanyika uchaguzi Julai nchini Zimbabwe

    Mar 18, 2018 13:10

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono mpango wa kufanyika uchaguzi wa rais nchini Zimbabwe mwezi Julai mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS