Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Taliban: Hatuna uadui wowote na Marekani, tunafirikia kuanzisha nayo uhusiano mzuri

    Taliban: Hatuna uadui wowote na Marekani, tunafirikia kuanzisha nayo uhusiano mzuri

    May 17, 2022 11:24

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban Sirajuddin Haqqani amesisitiza kuwa, kwa sasa, serikali ya Afghanistan si tu haiitazami Marekani kama adui, bali inafikria pia kuanzisha uhusiano mzuri na Washington.

  • Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan

    Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan

    May 08, 2022 12:16

    Kiongozi Mkuu wa Taliban nchini Afghanistan Haibatullah Akhunzada ametoa agizo lenye vipengee vinne la sheria mpya kuhusu mipaka ya vazi la Hijabu kwa wanawake wa nchi hiyo.

  • Indhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Afghanistan

    Indhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Afghanistan

    May 07, 2022 01:18

    Ofisi ya Mkaguzi Mkuu Maalumu wa Marekani kwa ajili ya ujenzi mpya wa Afghanistan (SIGAR) imetahadharisha kuhusu taathira za hali mbaya ya kibinadamu nchini humo.

  • Iran: Tuko tayari kuipa Afghanistan teknolojia ya kupambana na ukame

    Iran: Tuko tayari kuipa Afghanistan teknolojia ya kupambana na ukame

    May 04, 2022 11:51

    Mjumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Tehran iko tayari kuipa Kabul teknolojia ya kupambana na ukame na vumbi linalofunika anga za maeneo mmbalimbali ya Afghanistan.

  • Amani iliyotoweka katika baadhi ya nchi za Kiislamu

    Amani iliyotoweka katika baadhi ya nchi za Kiislamu

    May 03, 2022 10:41

    Wakati nchi za Kiislamu zinasherehekea Idul Fitr na Waislamu wakiwa katika sikukuu na mapumziko baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika baadhi ya nchi za Kiislamu ikiwa ni pamoja na Afghanistan, amani na usalama inaonekana kuwa kiungo muhimu zaidi kinachokosekana katika maisha ya watu wa nchi hizo.

  • Qalibaf: Kuunda serikali jumuishi ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa Afghanistan

    Qalibaf: Kuunda serikali jumuishi ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa Afghanistan

    May 01, 2022 08:09

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kuasisi serikali shirikishi ni jambo lenye umuhimu kwa ajili ya kuhakikisha usalama endelevu nchini Afghanistan.

  • Taliban yatoa wito kwa Waislamu duniani kusimama dhidi ya Israel

    Taliban yatoa wito kwa Waislamu duniani kusimama dhidi ya Israel

    Apr 26, 2022 11:08

    Naibu msemaji wa serikali ya mpito ya Taliban nchini Afghanistan amesema umoja ni msingi wa Uislamu na hivyo kadhia ya Palestina inapaswa kushughulikiwa kwa msingi huo.

  • Kuendelea mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na majukumu ya Taliban

    Kuendelea mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na majukumu ya Taliban

    Apr 24, 2022 02:29

    Milipuko ya kigaidi iliyotokea hivi karibuni katika miji minne ya Afganistan baada ya kipindi kifupi cha utulivu wa kiwango fulani, imezusha mjadala mkubwa katika duru za kisasa na kiusalama. Kundi la kigadi la Daesh limetangaza kuhusika na milipuko hiyo ya umwagaji damu iliyouwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.

  • Idadi ya waliouawa katika mripuko uliotokea jana Kunduz Afghanistan yafikia watu 33

    Idadi ya waliouawa katika mripuko uliotokea jana Kunduz Afghanistan yafikia watu 33

    Apr 23, 2022 07:26

    Idadi ya watu waliouawa shahidi katika shambulio la kigaidi lililotokea jana kwenye Msikiti mmoja wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan wamefikia Waislamu 33.

  • Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan

    Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan

    Apr 06, 2022 10:44

    Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Rasoul Mousavi, Jumatatu iliyopita aliandika kwenye mtandao wa Twitter kwamba:

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS