-
Wiki chache za mafuriko ya maafa katika Pembe ya Afrika
Nov 18, 2023 04:22Mafuriko makubwa katika eneo la Pembe ya Afrika yamesababisha zaidi ya watu mia moja kupoteza maisha na mamia kwa maelfu ya wengine kuhama makazi yao.
-
Russia yaripoti ukuaji mkubwa wa biashara na Afrika
Oct 02, 2023 23:13Mauzo ya biashara kati ya Russia na nchi za Afrika yameongezeka kwa asilimia 43.5 katika miezi minane ya kwanza ya 2023 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka mmoja uliopita, RBK ya kila siku ya biashara iliripoti jana Jumatatu, ikinukuu Wizara ya Uchumi ya Russia.
-
Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia
Sep 23, 2023 00:38Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.
-
Paris yaakiri kushindwa kwa sera zake za kikoloni barani Afrika
Sep 06, 2023 23:07Mapinduzi mtawalia yaliyotokea katika nchi kadhaa za Kiafrika kama Niger na Gabon, ambayo amepongezwa na kupokewa kwa shangwe na wananchi, yamegeuka kuwa harakati kubwa dhidi ya ukoloni mpya na mamboleo wa Ufaransa barani Afrika.
-
Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho
Sep 04, 2023 10:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni na ugaidi, na kuyataja kuwa ni ishara ya mwamko, kuwa macho na utambuzi sahihi wa mahitaji ya zama ya nchi hizo.
-
Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS
Aug 24, 2023 04:23Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.
-
EU yashutumiwa kwa kuwabagua wakimbizi wa Kiafrika
Aug 19, 2023 00:22Umoja wa Ulaya umeendelea kukosolewa kwa kutekeleza sera za kibaguzi dhidi ya wakimbizi kutoka Ukraine kwa upande mmoja, na wale wanaotoka nchi za Afrika na bara Asia kwa upande wa pili.
-
Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika
Aug 09, 2023 08:10Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.
-
Msisitizo wa Russia katika kupanua uhusiano wa kina na nchi za Afrika
Jul 29, 2023 23:00Vladimir Putin, Rais wa Rusia, amesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano wa kina na nchi za Kiafrika akisema: Russia itatuma nafaka za bure kwa nchi 6 za Afrika katika miezi michache ijayo.
-
Putin: Russia itazipatia nafaka nchi sita za Kiafrika ndani ya muda wa miezi michache ijayo
Jul 28, 2023 04:19Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake inaweza kuchukua nafasi ya Ukraine ya usambazaji wa nafaka kwa bara la Afrika na kutangaza kuwa Moscow itatuma nafaka bila malipo kwa nchi sita za Kiafrika katika kipindi cha miezi michache ijayo.