Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

    Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria

    Aug 28, 2022 08:32

    Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.

  • Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

    Aug 26, 2022 23:29

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.

  • Kuongezeka hujuma za  kigaidi barani Afrika

    Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika

    Aug 24, 2022 23:12

    Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.

  • Nchi za Afrika zapasisha stratejia ya kupambana na magonjwa sugu

    Nchi za Afrika zapasisha stratejia ya kupambana na magonjwa sugu

    Aug 24, 2022 06:18

    Mawaziri wa Afya wa nchi za Afrika wameunga mkono stratejia mpya inayonuia kupiga jeki upatikanaji wa dawa na matibabu ya magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza barani humo.

  • WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika

    WFP: Njaa inatishia maisha ya watu milioni 22 barani Afrika

    Aug 21, 2022 02:28

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limessema kuwa hivi sasa watu milioni 22 barani Afrika wako kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa.

  • Juhudi za Marekani za kueneza ushawishi wake barani Afrika

    Juhudi za Marekani za kueneza ushawishi wake barani Afrika

    Aug 11, 2022 21:59

    Akiwa katika safari yake ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika, Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amezungumza na kushauriana na viongozi wa nchi alizozitembelea kuhusu masuala ya usalama, mgogoro wa chakula na jinsi ya kuzishirikisha nchi za Kiafrika katika vita vya Ukraine.

  • Kustawisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za Kiafrika ni katika vipaumbele vya Iran

    Kustawisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za Kiafrika ni katika vipaumbele vya Iran

    Aug 06, 2022 07:03

    Hamid Forozan Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Ushirikiano, Kazi na Ustawi wa Jamii ya Iran amesisitiza kuwa, uwezo wa nchi za Kiafrika umeandaa msingi mzuri wa kustawisha biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • WHO: Umri wa mtu kuishi, tena akiwa na afya Afrika umeongezeka

    WHO: Umri wa mtu kuishi, tena akiwa na afya Afrika umeongezeka

    Aug 05, 2022 03:02

    Shirika la Afya Duniani, WHO limesema umri wa mtu kuishi barani Afrika, tena akiwa na afya bora umeongezeka kwa wastani wa miaka 10 kwa mtu mmoja kati ya mwaka 2000 na 2019, ikiwa ni ongezeko kubwa kuliko ukanda mwingine wa shirika hilo duniani katika kipindi hicho hicho; na sababu ni pamoja na kuimarika huduma za mama na mtoto.

  • Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi

    Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi

    Jul 28, 2022 02:55

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko barani Afrika katika safari yake ya kwanza ya kikazi baada ya kuanza muhula wake wa pili kama rais wa nchi hiyo.

  • Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne

    Museveni: Russia imekuwa rafiki mkubwa wa Afrika kwa zaidi ya karne

    Jul 27, 2022 08:45

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema Russia ni rafiki mkubwa wa Afrika na imekuwa ikiunga mkono harakati za kupambana na ukoloni za mataifa ya bara hilo kwa zaidi ya miaka mia moja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS