-
Ghana: Tuko tayari kujiunga na mfumo wa sarafu moja ya eco ya nchi za Afrika Magharibi
Dec 30, 2019 23:16Ghana imetangaza kuwa, imeamua kujiunga na Muungano wa Kiuchumi na Kifedha wa Afrika Magharibi (UEMOA) wa kutumia sarafu moja itakayojulikana kama eco.
-
Ufaransa iliua makumi ya maelefu ya raia wa Cameroon katika zama za ukoloni
Dec 28, 2019 23:22Askari wa utawala wa kikoloni wa Ufaransa waliua makumi ya maelfu ya raia wa Cameroon katika zama za ukoloni wake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika
Dec 28, 2019 23:22Makundi ya kigaidi ya Boko Haramu na Daesh yamezidisha harakati zao katika eneo la magharibi mwa Afrika.
-
Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa
Dec 24, 2019 23:26Baada ya mashauriano yaliyodumu kwa muda mrefu, hatimaye nchi nane kati ya 15 wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc) na kutangaza kwamba, kuanzia sasa zitaanza kufanya miamala yao yote kwa kutumia sarafu ya Eco ili zisalimike madhara ya kifedha yaliyokuwa yakisababishwa na sarafu ya Franc.
-
Kikao cha 33 cha viongozi wa Umoja wa Afrika kujadili 'kuzima milio ya risasi'
Dec 24, 2019 23:25Mkutano wa 33 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unatarajiwa kufanyika kuanzia Januari 21 hadi Februari 10 mwakani kwenye makao makuu ya Umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia, ukiwa na kauli mbiu ya "Kuzima Milio ya Risasi: Kuanzisha Mazingira Mazuri kwa ajili ya Maendeleo ya Afrika."
-
Nchi 8 za magharibi mwa Afrika zaachana na matumizi ya sarafu ya Ufaransa
Dec 23, 2019 10:25Nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika (Ecowas) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc).
-
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa
Dec 23, 2019 09:17Mienendo ya nchi za Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima uimekuwa ya kikoloni na kuwanyonya watu wa bara hilo na wakati huo huo kukandamiza harakati za wapigania uhuru.
-
Maeneo yanayozungumza Kiingereza Cameroon yapata hadhi maalumu
Dec 21, 2019 21:44Bunge la Cameroon limeafiki kuwa maeneo yanayozungumza Kiingereza nchini humo yapewe hadhi maalumu katika hatua inayolenga kutuliza uasi wa wanaotaka kujitenga.
-
Mawaziri wa Ulinzi wa nchi za Afrika wakutana kujadili usalama na amani ya bara
Dec 18, 2019 23:03Mawaziri wa Usalama na maafisa wengine wa ngazi za juu wa usalama wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wanatazamiwa kukutana leo Alkhamisi kujadili masuala ya amani na changamoto za kiusalama zinazolikabili bara hilo.
-
Kashfa ya maziwa ghushi ya Ulaya barani Afrika, yafichuliwa
Dec 17, 2019 03:07Jumuiya tano za Ulaya na wazalishaji maziwa wa Afrika wamefichua kwamba, viwanda vya maziwa vya Ulaya vinatengeneza maziwa ghushi ya unga yaliyotayarishwa kwa kutumia mafuta ya mawese na kuyauza barani Afrika.