Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Kuongezeka harakati za makundi ya kigaidi magharibi mwa Afrika

    Dec 28, 2019 23:22

    Makundi ya kigaidi ya Boko Haramu na Daesh yamezidisha harakati zao katika eneo la magharibi mwa Afrika.

  • Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Uamuzi wa nchi 8 za magharibi mwa Afrika wa kuacha kutumia sarafu ya Ufaransa

    Dec 24, 2019 23:26

    Baada ya mashauriano yaliyodumu kwa muda mrefu, hatimaye nchi nane kati ya 15 wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc) na kutangaza kwamba, kuanzia sasa zitaanza kufanya miamala yao yote kwa kutumia sarafu ya Eco ili zisalimike madhara ya kifedha yaliyokuwa yakisababishwa na sarafu ya Franc.

  • Kikao cha 33 cha viongozi wa Umoja wa Afrika kujadili 'kuzima milio ya risasi'

    Kikao cha 33 cha viongozi wa Umoja wa Afrika kujadili 'kuzima milio ya risasi'

    Dec 24, 2019 23:25

    Mkutano wa 33 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unatarajiwa kufanyika kuanzia Januari 21 hadi Februari 10 mwakani kwenye makao makuu ya Umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia, ukiwa na kauli mbiu ya "Kuzima Milio ya Risasi: Kuanzisha Mazingira Mazuri kwa ajili ya Maendeleo ya Afrika."

  • Nchi 8 za magharibi mwa Afrika zaachana na matumizi ya sarafu ya Ufaransa

    Nchi 8 za magharibi mwa Afrika zaachana na matumizi ya sarafu ya Ufaransa

    Dec 23, 2019 10:25

    Nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika (Ecowas) zimejitoa katika muungano wa sarafu ya pamoja ya Ufaransa (Franc).

  • Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiri, ukoloni umekufa

    Dec 23, 2019 09:17

    Mienendo ya nchi za Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima uimekuwa ya kikoloni na kuwanyonya watu wa bara hilo na wakati huo huo kukandamiza harakati za wapigania uhuru.

  • Maeneo yanayozungumza Kiingereza Cameroon yapata hadhi maalumu

    Maeneo yanayozungumza Kiingereza Cameroon yapata hadhi maalumu

    Dec 21, 2019 21:44

    Bunge la Cameroon limeafiki kuwa maeneo yanayozungumza Kiingereza nchini humo yapewe hadhi maalumu katika hatua inayolenga kutuliza uasi wa wanaotaka kujitenga.

  • Mawaziri wa Ulinzi wa nchi za Afrika wakutana kujadili usalama na amani ya bara

    Mawaziri wa Ulinzi wa nchi za Afrika wakutana kujadili usalama na amani ya bara

    Dec 18, 2019 23:03

    Mawaziri wa Usalama na maafisa wengine wa ngazi za juu wa usalama wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wanatazamiwa kukutana leo Alkhamisi kujadili masuala ya amani na changamoto za kiusalama zinazolikabili bara hilo.

  • Kashfa ya maziwa ghushi ya Ulaya barani Afrika, yafichuliwa

    Kashfa ya maziwa ghushi ya Ulaya barani Afrika, yafichuliwa

    Dec 17, 2019 03:07

    Jumuiya tano za Ulaya na wazalishaji maziwa wa Afrika wamefichua kwamba, viwanda vya maziwa vya Ulaya vinatengeneza maziwa ghushi ya unga yaliyotayarishwa kwa kutumia mafuta ya mawese na kuyauza barani Afrika.

  • Watu wasiopungua 265 wapoteza maisha katika mafuriko Afrika Mashariki

    Watu wasiopungua 265 wapoteza maisha katika mafuriko Afrika Mashariki

    Dec 07, 2019 00:34

    Mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki katika kipindi cha miezi miwili iliyopita zimeuwa watu wasiopungua 265.

  • Rais wa Chad akosoa vikali uingiliaji wa NATO katika masuala ya ndani ya Libya

    Rais wa Chad akosoa vikali uingiliaji wa NATO katika masuala ya ndani ya Libya

    Nov 23, 2019 04:26

    Rais Idriss Deby wa Chad amesisitiza kuwa, uingiliaji wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika masuala ya ndani ya Libya ulipelekea kutokea maafa katika nchi hiyo na kwamba, Afrika haipaswi kubeba peke yake mzigo wa maafa hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS