-
Usalama wa chakula Afrika unategemea misimamo ya tawala za nchi za bara hilo
Oct 11, 2017 23:18Kituo cha Afrika cha Mabadiliko ya Kiuchumi ACET kimesema kuwa, njia ya kuleta mapinduzi katika kudhamini usalama wa chakula barani humo ni kwa serikali zilizoko madarakani kubadilisha sera zao na kuwaandalia vijana fursa nzuri za kilimo pamoja na kutumia teknolojia za kisasa katika sekta hiyo.
-
Radiamali ya viongozi wa Ulaya kuhusu mgogoro wa wakimbizi wa Kiafrika
Oct 11, 2017 04:43Rais Emannuel Macron wa Ufaransa Jumamosi iliyopita aliarifu kuhusu kuasisiwa ofisi ya kuwapokea wakimbizi katika nchi mbili za Kiafrika. Alisema kuwa katika wiki zijazo kabla ya kumalizika mwezi huu wa Oktoba, ofisi hizo zitaasisiwa huko Chad na Niger kwa ajili ya kuwatambaua raia waliotimiza masharti ya kuwa wakimbizi.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Umoja wa Afrika
Oct 10, 2017 01:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Afrika, AU katika sekta za sayansi, teknolojia, kilimo, kijamii na uchumi.
-
Harakati za Israel za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika
Oct 07, 2017 23:12Balozi wa Palestina nchini Ethiopia amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya harakati za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika.
-
Mashauriano ya wawakilishi wa Afrika na Ufaransa katika "Kikao cha Afrika 2017"
Oct 07, 2017 08:14Kikao cha siku mbili chini ya anuani "Afrika 2017" kimefanyika kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa pande mbili za Afrika na Ufaransa.
-
Ripoti: Israel huwatia mbaroni mamia ya Waafrika kila mwaka
Sep 25, 2017 00:41Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeripoti kuwa vyombo vya usalama vya Israel huwakamata na kuwazuilia mamia ya Waafrika kila mwaka, kinyume cha sheria.
-
Unyanyasaji watoto wakimbizi wa Kiafrika barani Ulaya
Sep 12, 2017 22:04Katika hali ambayo, wimbi la wahajiri wa Kiafrika wanaoelekea barani Ulaya lingali linaendelea kushuhudiwa, ripoti za kimataifa zinaonyesha juu ya kuweko hali mbaya wanayokabiliwa nayo wahajiri hususan watoto wakimbizi wa Kiafrika.
-
Mkutano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika waakhirishwa
Sep 12, 2017 00:17Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa mkutano wa utawala huo na nchi za Afrika uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi ujao nchini Togo umeakhirishwa hadi wakati mwengine.
-
Mwito wa kutumiwa Kiswahili kuimarisha utangamano Afrika Mashariki
Sep 09, 2017 03:19Naibu Waziri Mkuu wa Uganda ametoa wito wa kutumiwa lugha ya Kiswahili kuimarisha utangamano katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Viongozi wa nchi saba za Afrika na Ulaya wachunguza mwenendo wa uhajiri nchini Ufaransa
Aug 28, 2017 23:54Viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya wamekutana nchini Ufaransa kwa ajili ya kuchunguza namna ya kupunguza wimbi la uhajiri kutoka nchi za Afrika kuelekea barani Ulaya.