Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Vyama 32 vya siasa barani Afrika vyakutana mjini Khartoum, Sudan

    Vyama 32 vya siasa barani Afrika vyakutana mjini Khartoum, Sudan

    Aug 20, 2017 12:12

    Wawakilishi wa vyama 32 vya siasa vya nchi za Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Sudan Khartoum kujadili njia za kustawisha uhusiano wa kisiasa barani humo.

  • Jitihada za utawala wa Kizayuni za kuwa na ushawishi mkubwa barani Afrika

    Jitihada za utawala wa Kizayuni za kuwa na ushawishi mkubwa barani Afrika

    Aug 16, 2017 22:07

    Utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya jitihada ili uwe na ushawishi kwa kuimarisha uhusiano wake na nchi za bara la Afrika kwa lengo la kujiondoa katika hali ya kutengwa. Katika uga huo, viongozi wa Tel Aviv wamepanga kuitisha mkutano mwezi Oktoba nchini Togo chini ya anuani "Kikao cha Viongozi wa Kiafrika na Israel."

  • Zaidi ya watu 300 wameaga dunia baada ya kufukiwa na maporomoko ya udongo Sierra Leone

    Zaidi ya watu 300 wameaga dunia baada ya kufukiwa na maporomoko ya udongo Sierra Leone

    Aug 14, 2017 07:44

    Wwatu wasiopungua 312 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 2000 wamebaki bila ya makazi kutokana na maporomoko ya udongo yaliyotokea nje kidogo ya mji mkuu wa Sierra Leone.

  • FAO: Njaa inatishia eneo la mashariki mwa Afrika

    FAO: Njaa inatishia eneo la mashariki mwa Afrika

    Aug 14, 2017 07:46

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusu ongezeko la vifo vya watu kutokana na ukame na njaa katika maeneo ya mashariki mwa Afrika.

  • Mtawa wa India aokoa wanawake wa Kiafrika kutoka kwenye utumwa wa ngono

    Mtawa wa India aokoa wanawake wa Kiafrika kutoka kwenye utumwa wa ngono

    Aug 10, 2017 02:37

    Mtawa wa India aliyeokoa wanawake wa Cameroon kutoka kwenye utumwa wa ngono katika eneo la Mashariki ya Kati ametoa wito wa kutolewa misaada kwa wahanga hao ili kusaidia mchakato wa kuwarejesha kwenye hali ya kawaida na kuwaondoa kwenye mfadhaiko wa kinafsi uliosababishwa na manyanyaso ya aina mbalimbali kama ya kubakwa, kunajisiwa na kushikiliwa mateka.

  • Kiongozi wa chama cha upinzani Zambia atiwa nguvuni

    Kiongozi wa chama cha upinzani Zambia atiwa nguvuni

    Aug 04, 2017 00:01

    Polisi ya Zambia imemkamata kiongozi wa upinzani wa nchini humo, Saviour Chishimba kwa tuhuma ya kumtukana Rais Edgar Lungu, kosa ambalo adhabu yake inawezeka kufikia kifungo cha miaka mitano jela.

  • Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika

    Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika

    Jul 25, 2017 22:36

    Katika kuendelea kukabiliana na wahajiri haramu, wawakilishi wa nchi 10 za Kiafrika, Ulaya na asasi nne za kieneo wamekubaliana kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri hao haramu kupitia Bahari ya Mediterania na kuimarisha ushirikiano ili kuwazuia wahajiri hao.

  • FAO yatahadharisha kuhusu kuongezeka haja ya misaada ya dharura mashariki mwa Afrika

    FAO yatahadharisha kuhusu kuongezeka haja ya misaada ya dharura mashariki mwa Afrika

    Jul 24, 2017 02:34

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha katika ripoti yake kuwa kuna ongezeko la kutia wasiwasi la watu wanaohitaji misaada ya haraka ya kibinadamu katika nchi za mashariki mwa Afrika.

  • FAO yatahadharisha kuhusu njaa Afrika Mashariki

    FAO yatahadharisha kuhusu njaa Afrika Mashariki

    Jul 16, 2017 02:15

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO limetahadahrisha kuwa ukosefu wa mvua Afrika Mashariki umeongeza njaa katika eneo hilo.

  • Mtazamo wa G20 kwa bara la Afrika

    Mtazamo wa G20 kwa bara la Afrika

    Jul 07, 2017 12:40

    Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa G20 umeanza huko Hamburg nchini Ujerumani na miongoni mwa ajenda zake kuu ni mjadala juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, mustakbali wa makubaliano ya kibiashara na matatizo na masuala ya bara la Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS