-
Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 10, 2024 11:26Viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Rais wa Afrika Kusini wameendelea kumpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa ya Afrika Kusini laapishwa
Jul 04, 2024 03:33Baraza jipya la mawaziri la Afrika Kusini liliapishwa jana Jumatano, wakati huu ambapo serikali ya nchi hiyo inakabiliana na changamoto za uchumi na mabadiliko ya kijamii.
-
Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ
Jun 22, 2024 07:48Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Chama cha Zuma kususia kikao cha Bunge cha kumchagua rais wa Afrika Kusini
Jun 12, 2024 22:54Chama cha upinzani cha Mkhonto weSizwe (MK) cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha faili mahakamani kikitaka kusikitishwa kikao cha Bunge cha kuchagua rais mpya wa nchi hiyo.
-
Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Jun 06, 2024 23:15Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.
-
Zuma atoa onyo iwapo IEC itatangaza matokeo ya uchaguzi leo
Jun 02, 2024 03:08Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametishia kuchukua hatua ya kisheria ya kuizuia Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu leo Jumapili kama ilivyoratibiwa.
-
Upinzani Afrika Kusini wataka kura zihesabiwe upya
May 31, 2024 23:36Taharuki imetanda Afrika Kusini baada ya vyama kadhaa vya upinzani nchini humo kupinga matokeo ya uchaguzi wa Bunge katika baadhi ya wilaya na mikoa, vikisisitiza kuwa lazima kura zihesabiwe upya.
-
Mauritius yaungana na Afrika Kusini katika mashtaka dhidi ya utawala wa Israel
May 28, 2024 07:12Serikali ya Mauritius metangaza kuungana na mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini
May 24, 2024 03:53Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kupigania kile alichokiita 'haki yake' ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo.
-
The Hague: Ufuatiliaji wa kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
May 20, 2024 01:46Naledi Pandor, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini ametangaza kuendelea na juhudi za nchi hiyo za kufuatilia mashtaka yake dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).