Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Wanaharakati waitaka Afrika Kusini iiwekee Israel vikwazo vya biashara

    Wanaharakati waitaka Afrika Kusini iiwekee Israel vikwazo vya biashara

    Aug 25, 2024 22:59

    Wanaharakati wameitaka Afrika Kusini iuwekee utawala wa Kizayuni wa Israel vikwazo vya kibiashara na kusimamisha mara moja mauzo ya nje ya bidhaa zake kwa utawala huo pandikizi.

  • Takriban wahamiaji 100 wa Ethiopia waokolewa na polisi nchini Afrika Kusini

    Takriban wahamiaji 100 wa Ethiopia waokolewa na polisi nchini Afrika Kusini

    Aug 05, 2024 10:15

    Polisi ya Afrika Kusini imeeleza kuwa imewaokoa wahamiaji 90 wa Kiethiopia waliokuwa wakishiliwa kwenye nyumba moja kinyume na ridhaa yao katika mji wa Johannesburg.

  • Afrika Kusini yailaani Israel kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah

    Afrika Kusini yailaani Israel kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah

    Aug 01, 2024 23:14

    Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mauaji ya kigaidi ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyah.

  • Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina

    Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina

    Jul 22, 2024 07:28

    Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Harakati ya Ansarullah na vikosi vya wanajeshi wa Yemen kushadidisha operesheni zao dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.

  • Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran

    Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran

    Jul 10, 2024 11:26

    Viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Rais wa Afrika Kusini wameendelea kumpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa ya Afrika Kusini laapishwa

    Baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa ya Afrika Kusini laapishwa

    Jul 04, 2024 03:33

    Baraza jipya la mawaziri la Afrika Kusini liliapishwa jana Jumatano, wakati huu ambapo serikali ya nchi hiyo inakabiliana na changamoto za uchumi na mabadiliko ya kijamii.

  • Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ

    Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ

    Jun 22, 2024 07:48

    Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.

  • Chama cha Zuma kususia kikao cha Bunge cha kumchagua rais wa Afrika Kusini

    Chama cha Zuma kususia kikao cha Bunge cha kumchagua rais wa Afrika Kusini

    Jun 12, 2024 22:54

    Chama cha upinzani cha Mkhonto weSizwe (MK) cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha faili mahakamani kikitaka kusikitishwa kikao cha Bunge cha kuchagua rais mpya wa nchi hiyo.

  • Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel

    Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel

    Jun 06, 2024 23:15

    Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.

  • Zuma atoa onyo iwapo IEC itatangaza matokeo ya uchaguzi leo

    Zuma atoa onyo iwapo IEC itatangaza matokeo ya uchaguzi leo

    Jun 02, 2024 03:08

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametishia kuchukua hatua ya kisheria ya kuizuia Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu leo Jumapili kama ilivyoratibiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS