Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi

    Rais Zuma wa Afrika Kusini kuitembelea Iran Jumamosi

    Apr 22, 2016 11:53

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anatazamiwa kuwasili nchini Iran Jumamosi ya kesho akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.

  • Zuma azidi kusakamwa, kesi dhidi yake yawasilishwa mahakamani

    Zuma azidi kusakamwa, kesi dhidi yake yawasilishwa mahakamani

    Apr 10, 2016 03:31

    Kiongozi wa jamii ya Khoisan nchini Afika Kusini amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.

  • Zuma Anusurika kura ya kumwondoa madarakani

    Zuma Anusurika kura ya kumwondoa madarakani

    Apr 06, 2016 03:01

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.

  • Wapambe wa Mandela wamtaka rais Zuma ajiuzulu haraka

    Wapambe wa Mandela wamtaka rais Zuma ajiuzulu haraka

    Apr 02, 2016 12:02

    Mwanaharakati maarufu anayepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amemtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ang'oke madarakani haraka iwezekanavyo.

  • Mahakama: Rais Zuma alikiuka katiba, arejeshe fedha zilizofujwa

    Mahakama: Rais Zuma alikiuka katiba, arejeshe fedha zilizofujwa

    Mar 31, 2016 09:42

    Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini imemuagiza Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kuirejeshea serikali sehemu ya dola milioni 16 za Marekani zilizotumika kukarabati makazi yake binafsi, kwenye moja ya kashfa kubwa za ufisadi zilizowahi kuripotiwa nchini humo katika miaka ya hivi karibuni.

  • Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram

    Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram

    Mar 09, 2016 23:12

    Jeshi la Afrika Kusini limekanusha habari kuwa litatatuma askari nchini Nigeria kupambana na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.

  • Rais wa Afrika Kusini anusurika kupigiwa na Bunge kura ya kutokuwa na imani na utendaji wake wa kiuchumi

    Rais wa Afrika Kusini anusurika kupigiwa na Bunge kura ya kutokuwa na imani na utendaji wake wa kiuchumi

    Mar 01, 2016 23:19

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kwa mara ya pili katika kipindi cha mwaka mmoja kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye, baada ya hoja iliyowasilishwa bungeni kutoungwa mkono na wabunge walio wengi.

  • Wanafunzi wateketeza kwa moto chuo kikuu Afrika Kusini

    Wanafunzi wateketeza kwa moto chuo kikuu Afrika Kusini

    Feb 26, 2016 12:47

    Wanafunzi waliogoma nchini Afrika Kusini wameteketeza kwa moto majengo kadhaa ya chuo kikuu.

  • Amnesty International yaikosoa Afrika Kusini kwa kushindwa kumkamata al-Bashir

    Amnesty International yaikosoa Afrika Kusini kwa kushindwa kumkamata al-Bashir

    Feb 25, 2016 04:32

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa kushindwa kumkamata Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir alipoitembelea nchi hiyo mwezi Julai mwaka jana.

  • Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi

    Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi

    Feb 22, 2016 04:22

    Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS