-
Baraza la Usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani nchini CAR
Apr 12, 2018 07:36Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio dhidi ya askari jeshi wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati lililosababisha mauti ya mwanajeshi mmoja raia wa Rwanda na kujeruhi wengine wanane.
-
Sauti za risasi zasikika karibu na Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 09, 2018 04:46Duru za usalama za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimetangaza habari ya kutokea mapigano baina ya watu wenye silaha na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa karibu na Ikulu ya Rais mjini Bangui.
-
Watu kadhaa wauawa katika mapigano mapya CAR
Mar 24, 2018 15:59Duru za habari za Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeripoti kuwa, kumezuka mapigano mapya kati ya makundi ya wabeba silaha na kupelekea watu kadhaa kuuawa, katika maeneo ya kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu kadhaa wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 21, 2018 07:43Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameripoti kuwa watu wawili wameuawa na wawili wengine kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea baina ya watu wenye silaha kusini mwa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Ufaransa yawaachia huru askari waliowanajisi watoto Bangui
Jan 17, 2018 08:23Mahakama moja nchini Ufaransa imetangaza kuhitimisha faili la tuhuma za askari wa nchi hiyo waliowanajisi watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa madai ya kutokuwepo ushahidi wa kutosha.
-
Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu
Dec 31, 2017 14:35Nusu ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanahitajia misaada ya kibinadamu huku kukitolewa miito ya kuwasaidia haraka raia hao.
-
Waasi wa Kikristo wa Anti Balaka waua askari wa UN na kujeruhi wengine kadhaa CAR
Nov 27, 2017 08:10Wapiganaji wa kundi la Kikristo la Anti barala wameua askari mmoja wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kujeruhi wengine watatu.
-
Mapigano yaanza tena katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Nov 26, 2017 13:17Duru za habari zinaripoti kutoka katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwamba, mapigano makali yamezuka tena katika nchi hiyo na kuzusha wasiwasi mkubwa miongoni mwa raia.
-
Mapigano yaendelea kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Nov 05, 2017 03:37Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imeripoti kuwa mapigano makali yangali yanaendelea katika mkoa wa Ouham kaskazini mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
OIC yalaani mauaji ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 23, 2017 03:18Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na taasisi ya al Azhar nchini Misri zimelaani mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.