-
Watu 176 waaga dunia katika ajali ya ndege ya Ukraine mjini Tehran
Jan 08, 2020 07:42Watu 176 wamepoteza maisha baada ya ndege ya abiria ya Ukraine kuanguka na kuteketea moto viungani mwa mji mkuu wa Iran, Tehran.
-
Watu 50 waaga dunia katika ajali ya treni Kongo DR
Sep 13, 2019 02:38Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya treni iliyotokea mapema jana Alkhamisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Tanzania yatangaza siku tatu za maombolezo, vifo vya ajali ya gari la mafuta Morogoro
Aug 11, 2019 14:02Rais wa Tanzania, John Magufuli amewatembelea majeruhi 43 wa ajali ya moto iliyotokea jana mkoani Morogoro waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuwapatia kila mmoja Shilingi 500,000 kwa ajili ya matumizi.
-
Nchi za Afrika zatakiwa kupunguza ajali za barabarani kwa asilimia 50
May 09, 2019 12:40Tume ya Uchumi ya Afrika katika Umoja wa Mataifa (ECA) imetoa wito kwa nchi za Afrika kupunguza kwa nusu idadi ya watu wanaofarikia au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani.
-
Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco
Apr 28, 2019 07:14Kwa akali wahajiri 16 wanaotoka katika nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Melilla, kaskazini mwa Morocco.
-
Watu 37 waaga dunia baada ya boti kuzama DRC
Apr 24, 2019 04:18Miili 37 imepatikana baada ya boti nyingine kuzama huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wiki moja baada ya makumi ya watu kupoteza maisha huku wengine wengi wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi.
-
Makumi wafa maji, 150 watoweka katika ajali ya boti Kongo DR
Apr 17, 2019 13:45Makumi ya watu wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine 150 wakitoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 27 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Kongo DR
Dec 25, 2018 14:30Watu wsiopungua 27 wameaga dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa.
-
Basi lililokuwa likielekea A/Kusini laripuka na kuua abiria 43 Zimbabwe
Nov 16, 2018 14:40Watu wasiopungua 43 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya basi la abiria kuripuka na kushika moto usiku wa kuamkia leo nchini Zimbabwe.
-
Watu 28 waaga dunia na kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Tanzania
Sep 09, 2018 02:47Kwa akali watu 15 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Mbeya, kusini mwa Tanzania.