-
Qatar: Saudia iache kuingiza masuala ya dini katika mgogoro wa kisiasa
Jun 06, 2018 14:20Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar sambamba na kuelezea mwenendo wa vizuizi vinavyofanywa na Saudia kwa ajili ya kuwazuia raia wa nchi hiyo kuweza kushiriki ibada ya hija, imeitaka Riyadh kuacha kuyaingiza masuala ya kidini katika mgogoro wa kisiasa wa pande mbili.
-
Wairani 90,000 kutelekeza ibada ya Hija mwaka huu
Feb 19, 2018 15:37Mwakilishi wa Faqihi Mtawala na Msimamizi wa Mahujaji Wairani amesema: "Mwaka huu Mahujaji Wairani katika Baitullah al Haram watakuwa ni 90,000."
-
Mahujaji wa Nyumba ya Allah watoa ujumbe amani kwa walimwengu wote
Sep 04, 2017 16:27Shirika la habari la IRNA limemnukuu Amir wa Makkah akisema kuwa, mwaka huu zaidi ya mahujaji milioni mbili wameshiriki katika ibada za jangwa la Arafa na hao ni wawakilishi wa Waislamu zaidi ya bilioni moja na milioni 800 ambao wamewafikishia walimwengu wote ujumbe wa amani na kuishi pamoja kwa usalama.
-
Hija, njia muhimu zaidi ya kuongezea pato la serikali ya Saudi Arabia
Sep 03, 2017 02:33Kutokana na kupungua mapato ya serikali ya Saudi Arabia yanayotokana na mafuta kufuatia kushuka bei ya bidhaa hiyo katika soko ya dunia, Hija imekuwa njia muhimu zaidi mbadala ya kuongezea pato la nchi hiyo kutokana na mabilioni kadhaa ya dola inazochangia kila mwaka katika bajeti ya nchi hiyo.
-
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah waendelea na amali za Hija
Sep 02, 2017 15:02Zaidi ya mahujaji milioni moja wanaendelea na amali tukufu za Hija katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia.
-
Mamia ya mahujaji wanusurika na ajali ya moto Makkah, Saudia
Aug 22, 2017 08:07Mamia ya mahujaji wamenusurika katika ajali ya moto uliotokea katika jengo la ghorofa 15 mjini Makkah, Saudi Arabia.
-
Saudia yafungua mpaka wa ardhini na Qatar; Doha yataka Hija isitumiwe kisiasa
Aug 17, 2017 14:30Saudi Arabia imefungua mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar kuruhusu mahujaji kutoka nchi hiyo ndogo ya Kiarabu kuelekea kwenye ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
Syria nayo yaikosoa Saudia kwa kuingiza siasa katika suala la Hijja
Aug 01, 2017 13:49Serikali ya Syria imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.
-
Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja
Jul 30, 2017 15:13Kamisheni Taifa ya Haki za Binadamu nchini Qatar imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.
-
Saudia yakubali masharti ya Iran kuhusu ibada ya Hijja
Mar 03, 2017 08:12Saudi Arabia imekubali mapendekezo yalitolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kulindwa mahujaji wa taifa hili katika ibada ya Hijja.