-
Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja
Jul 30, 2017 10:43Kamisheni Taifa ya Haki za Binadamu nchini Qatar imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.
-
Saudia yakubali masharti ya Iran kuhusu ibada ya Hijja
Mar 03, 2017 04:42Saudi Arabia imekubali mapendekezo yalitolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kulindwa mahujaji wa taifa hili katika ibada ya Hijja.
-
Mufti wa Algeria aikosoa vikali Saudia kwa kuongeza gharama za Hija, Umrah
Dec 09, 2016 23:16Mufti Mkuu wa Algeria ameukosoa vikali utawala wa Saudia Arabia kwa vitendo vyake vya kuwazuia Waislamu kutekekeleza ibada ya faradhi ya Hija na pia Umrah
-
Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo
Sep 12, 2016 02:12Utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa mwaka wa tano mfululizo umewazuia Mahujaji kutoka Syria kuingia Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Hija.
-
Rais Rouhani awatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za Idi
Sep 11, 2016 22:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
-
Pakistan: Saudia ikabidhi usimamizi wa Hija kwa jamii ya Waislamu
Sep 06, 2016 10:46Naibu Spika wa Bunge la Pakistan katika jimbo la Sindh ameitaka serikali ya Saudi Arabia ikabidhi usimamizi wa ibada ya Hija kwa jamii ya Waislamu duniani.
-
Saudia yafanya njama ya kuwakwamisha Wayemen wasiende Hija tena kwa mwaka wa pili
Aug 02, 2016 11:24Wizara ya Waqfu ya Yemen imetangaza kuwa Saudi Arabia inafanya njama za kuwakwamisha kwa mwaka wa pili mfululizo mahujaji kutoka Yemen wasiende nchini humo kutekeleza ibada ya Hija.
-
Kuimarishwa udiplomasia wa Hija baina ya nchi za Kiislamu
Jul 21, 2016 06:32Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara za Kidini Iran amesisitiza kuhusu Diplomasia ya Hija baina ya nchi zote za Kiislamu hasa Iran na Pakistan.
-
18 Wajeruhiwa katika msongamano mkubwa Makka
Jul 02, 2016 08:59Waislamu 18 waliokuwa katika Ibada ya Umrah wamejeruhiwa kufuatia msongamano mkubwa katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, miezi sita tu baad aya maelfu kupoteza maisha katika Ibada ya Hija mwaka jana.
-
Waislamu Uganda wataka Hija isimamiwe kimataifa
Jun 14, 2016 04:02Waislamu nchini Uganda wamehimiza kusimamiwa kimataifa amali ya Hija hasa kutokana na vifo vingi vilivyotokea katika msimu wa mwaka jana wa Hija. Mwandishi wa Radio Tehran ametuandalia ripoti ifuatayo kutoka Kampala. Gonga kwenye picha kusikiliza ripoti hiyo