Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Austria

  • Kansela wa Austria akososa

    Kansela wa Austria akososa "mchezo mchafu" wa EU katika ugavi wa chanjo ya corona

    Mar 31, 2021 07:11

    Kansela Sebastain Kurz wa Austria ameutuhumu Umoja wa Ulaya kuwa haugawi kwa uadilifu chanjo ya corona na kueleza kwamba nchi yake iko kwenye mazungumzo na Russia ya kununua dozi milioni moja za chanjo iliyotengenezwa na nchi hiyo ya Sputnik V.

  • Indhari kuhusu ubaguzi katika utoaji chanjo ya COVID-19 duniani

    Indhari kuhusu ubaguzi katika utoaji chanjo ya COVID-19 duniani

    Mar 16, 2021 02:37

    Ingawa kugunduliwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona ni jambo ambalo liliibua matumaini duniani kote, lakini ugavi usio wa kiudilifu wala usawa wa chanjo hiyo ni jambo ambalo limewakasirisha wengi na hata kuibua kelele katika baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya. Kuhusiana na nukta hiyo Kansela Sebastian Kurz wa Austira amesema hakuna uadilifu katika usambazwaji chanjo ya COVID-19 barani Ulaya.

  • Vitisho, chuki dhidi ya Waislamu zaongezeka Austria baada ya shambulio la kigaidi

    Vitisho, chuki dhidi ya Waislamu zaongezeka Austria baada ya shambulio la kigaidi

    Nov 20, 2020 03:41

    Vitisho, hujuma na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiasi cha kutisha nchini Austria, kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea nchini humo mapema mwezi huu wa Novemba.

  • Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu

    Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu

    Nov 11, 2020 14:43

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekwepa kulaani hatua na vitendo vya kuvunjia heshima thamani na matukufu ya Uislamu.

  • Iran yalaani shambulizi la kigaidi Vienna nchini Austria

    Iran yalaani shambulizi la kigaidi Vienna nchini Austria

    Nov 03, 2020 10:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Austria na kusema kuwa, kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mizizi ya ugaidi.

  • Mauaji ya watu 4 Vienna, Austria yasema wauaji ni wanachama wa kundi la Daesh

    Mauaji ya watu 4 Vienna, Austria yasema wauaji ni wanachama wa kundi la Daesh

    Nov 03, 2020 09:40

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Vienna ametangaza mapema leo kwamba wanaume wawili na mwanamke mmoja wameuawa katika hujuma iliyotokea jioni ya jana katikati mwa mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria

    Rouhani aitaka EU iishinikize Israel isitishe mashambulizi yake Syria

    May 07, 2020 08:02

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili linataraji kuwa Umoja wa Ulaya utaushinikiza utawala haramu wa Israel ukomeshe mashambulizi yake dhidi ya Syria.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani vinashabihiana na virusi vya corona

    Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani vinashabihiana na virusi vya corona

    Feb 24, 2020 04:41

    Rais Hassan Rouhani amesema vikwazo vya Marekani vinafanana na virusi vya corona, ambapo wasi wasi unaozushwa navyo ni mkubwa kuliko ukweli wa mambo.

  • Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi

    Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi

    Jun 13, 2019 06:33

    Bange la Austria limepitisha kwa wingi wa kura mpango wa kukipiga kufuli kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudia mjini Vienna.

  • Wanaharakati wa kiraia mjini Vienna wafanya maandamano kupinga uzayuni

    Wanaharakati wa kiraia mjini Vienna wafanya maandamano kupinga uzayuni

    Jun 02, 2019 07:50

    Mamia ya Waislamu na wanaharakati wa makundi ya kiraia nchini Austria, wamefanya maandamano mjini Vienna, wakipinga jinai na ukatili wa utazala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS