Jan 09, 2017 08:02
Shughuli ya kuuaga mwili wa Al-Marhum Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu imefanyika mapema leo kwa kuhudhuriwa na Rais Hassan Rouhani, viongozi mbalimbali wa vyombo vya serikali na vya ulinzi pamoja na wananchi wa matabaka tofauti.