-
Rais wa Azerbaijan: Ufaransa inaendeleza ukoloni mamboleo
Jul 05, 2023 22:48Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan amesema Ufaransa ni moja ya nchi ambazo zinaendelea kung'angania na kutekeleza sera ya ukoloni mamboleo.
-
'Kufanyika kikao cha Kizayuni Azerbaijan ni utangulizi wa mapatano baina ya Baku na Tel Aviv'
Jan 17, 2023 03:53Makundi ya Muqawama ya Palestina yametangaza kuwa, kufanyika mkutano wa Wazayuni nchini Azerbaijan ni utangulizi wa kufikiwa mapatano baina ya Baku na Tel Aviv.
-
Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan
Dec 11, 2022 09:10Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan.
-
UN yatiwa hofu na vita vipya kati ya Azerbaijan na Armenia vilivyoua watu 100
Sep 13, 2022 22:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na ripoti za kuibuka mapigano mapya baina ya wanajeshi wa Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia, yaliyopelekea kuuawa makumi ya askari wa pande zote mbili.
-
Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa mgogoro baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia
Oct 07, 2020 01:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro baina ya Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan unapaswa kumalizika haraka iwezekanavyo. Ameongeza kuwa, Iran iko tayari kuchukua hatua yoyote ya kutatua mgogoro baina ya Baku na Yerevan kwa mujibu wa sheria za kimataifa na mipaka inayotambuliwa rasmi ya nchi hizo mbili.
-
Azerbaijan yadai imeua maelfu ya askari wa Armenia, UN yatoa kauli
Sep 30, 2020 09:05Azerbaijan inadai kuwa imeua maelfu ya wanajeshi wa Armenia katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea siku ya Jumapili.
-
Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa
Sep 28, 2020 08:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Armenia na Azerbaijan zijizuie na zisitishe mapigano yanayoshuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea jana Jumapili.
-
Azerbaijan yapiga marufuku watoto kushiriki hafla za Kiislamu
Oct 08, 2017 23:01Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, serikali ya Azerbaijan inatazamiwa kupasisha sheria inayopiga marufuku watoto kushiriki katika hafla na sherehe za kidini.
-
Kiongozi Muadhamu: Vitisho vya vita vya kijeshi, ni hila zilizozoeleka za Marekani
Feb 15, 2017 12:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Marekani inatumia hila ya kurudia rudia vitisho vya kuishambulia kijeshi Iran ili kuwatoa viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uwanja wa vita vya kweli ambavyo ni vita vya kiuchumi.
-
Wananchi wa Azerbaijan waandamana dhidi ya safari ya Netanyahu
Dec 13, 2016 04:51Wananchi wa Azerbaijan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Baku, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ambaye anaanza ziara isiyo ya kawaida katika nchi mbili za Kiislamu za Asia ya Kati.