-
Bunge la Iraq lakosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani nchini humo
Apr 16, 2019 04:08Kamati ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq sambamba na kukosoa vikali harakati za kutia shaka za balozi mdogo wa Marekani mjini Baghdad, imesisitiza kuwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq inatakiwa kuchukua hatua kuhusiana na suala hilo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq azungumza na Barzani kuhusu Kurdistan ya Iraq
Jan 21, 2018 03:09Waziri Mkuu wa Iraq, Haydar al Abadi na Nechirvan Barzani, rais wa utawala wa ndani wa eneo la Kurdistan la Iraq wamefanya mazungumzo kuhusiana na matukio ya hivi karibuni na mgogoro uliozuka baina ya Baghdad na Erbil baada ya Kurdistan kuitisha kura ya maoni ya kujitenga na Iraq.
-
Watu 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Jan 15, 2018 07:49Watu wasiopungua 27 wameuawa na wengine zaidi ya 65 kujuruhiwa kufuatia mashambulizi mawili ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Bajeti na vivuko vya mpakani; hitilafu mpya baina ya Arbil na Baghdad
Nov 03, 2017 06:30Katika hali ambayo eneo la Kurdistan la Iraq limekumbwa na mivutano mikubwa ya ndani, mzozo baina ya eneo hilo na serikali kuu ya Iraq nao ungali unatokota.
-
Serikali ya Iraq yapitisha vikwazo vipya dhidi ya eneo la Kurdistan
Oct 10, 2017 03:07Katika kujibu hatua ya viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq ya kukiuka katiba na kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga na kujitangazia uhuru, serikali kuu ya Iraq imechukua maamuzi mapya ya kuliadhibu eneo hilo.
-
Syria: Sababu ya kutokea mashambulio ya kigaidi mjini Tehran hii hapa
Jun 14, 2017 15:36Balozi wa Syria nchini Iraq amesema kuwa, sababu kuu ya kutokea mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran, ni kutokana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa nchi pekee iliyosimama kikweli na wananchi na serikali za Iraq na Syria kupambana na magenge ya kigaidi yaliyozivamia nchini hizo.
-
Idadi ya waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Iraq yafikia 115
May 30, 2017 15:40Polisi ya Iraq imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa usiku wa kuamkia leo kwenye eneo la Al-Karrada katika mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad imeongezeka na kufikia 115.
-
Watu 36 wauawa katika hujuma ya kigaidi mjini Baghadad
Jan 02, 2017 15:11Watu wasiopungua 36 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa leo kufuatia hujuma ya kigaidi katika kitongoji cha Sadr katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Milipuko yaua kwa uchache watu 28 katikati mwa Baghdad, Iraq
Dec 31, 2016 14:53Milipuko miwili iliyotokea katikati mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu wasiopungua 28.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Iraq
Oct 16, 2016 14:43Watu zaidi ya 30 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililoulenga mkusanyiko wa waombolezaji waliokuwa wakiandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.