-
Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh
Aug 17, 2016 07:12Baghdad imesema kuwa Russia imeruhusiwa kwa masharti kutumia anga ya Iraq kuendesha mashambulizi dhidi ya kundi la Daesh huko Syria.
-
30 wauwa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Baghdad, Iraq
Jul 24, 2016 07:49Kwa akali watu 10 wamethibitishwa kupoteza maisha na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea mapema leo katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Ban alaani mashambulizi ya kigaidi ya Baghdad
Jul 04, 2016 04:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Baghdad nchini Iraq na kutoa mkono wa pole na salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa mashambulizi hayo.
-
Idadi ya wahanga wa miripuko ya kigaidi Baghdad yaongezeka
Jul 03, 2016 13:36Duru za habari zimeripoti kuwa idadi ya wahanga wa miripuko ya kigaidi iliyotokea Baghdad mji mkuu wa Iraq imeongezeka na kufikia watu 165.
-
Mashambulio ya kigaidi yaua na kujeruhi makumi ya watu kaskazini mwa Baghdad, Iraq
May 30, 2016 15:29Raia wasiopungua 26 wameuawa na kujeruhiwa leo katika miripuko ya mabomu ya mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Iran yalaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi ya Daesh Iraq
May 19, 2016 03:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi la mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, ambalo limesababisha vifo vya mamia ya watu tokeo Jumatano ya wiki iliyopita.
-
Watu 58 wauawa katika mashambulizi ya bomu Baghdad, Iraq
May 17, 2016 13:53Kwa akali watu 58 wameuawa na wengine zaidi ya 90 wamejeruhiwa katika mashambulizi matatu ya bomu yaliyoutikisa mji mkuu wa Iraq, Baghdad hii leo.
-
Mripuko wa bomu waua watu wasiopungua 64 mjini Baghdad, Iraq
May 11, 2016 15:34Watu wasiopungua 64 wameuawa na wengine zaidi ya 85 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea leo karibu na soko moja katika kitongoji cha Sadr mashariki mwa mji mkuu wa Iraq, Baghadad.