-
Umoja wa Mataifa na hali ya haki za binadamu nchini Bahrain
May 02, 2017 23:14Duru ya 27 ya kikao cha Umoja wa Mataifa kimeanza mjini Geneva kwa lengo la kuchunguza hali ya haki za binadamu nchini Bahrain.
-
Jinai za ukoo wa Kifalme Bahrain zazidi kulaaniwa
May 01, 2017 03:02Makundi ya haki za binadamu katika kona mbalimbali za dunia yamelaani jinai za ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa nchini Bahrain na kuutaka utawala huo kandamizi kuacha kuwanyanyasa wafungwa.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa eneo la Diraz
Apr 29, 2017 03:13Askari wa utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa mwezi wa 10 mfululizo wamezuia Sala ya Ijumaa kusaliwa katika eneo la Diraz nchini humo.
-
HRW: Ni aibu kwa Uingereza, Marekani kunyamazia kimya ukiukwaji haki za binadamu Bahrain
Apr 28, 2017 10:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, kimya cha Uingereza na Marekani mbele ya ukiukwaji haki za binadamu nchini Bahrain ni aibu.
-
Utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa waendelea kutumia silaha ya kuwavua uraia Wabahrain
Apr 24, 2017 10:33Mahakama Kuu ya Bahrain imewavua uraia vijana wawili wanaharakati wa nchi hiyo na kuwahukumu pia kifungo cha miaka kumi jela.
-
Utawala wa Aal Khalifa wawakea marufuku ya kusafiri wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain
Apr 23, 2017 22:25Katika kuendeleza ukandamizaji wake dhidi ya wananchi wa Bahrain, Utawala wa Aal KHalifa umewapiga marufuku kusafiri wanaharakati kadhaa wa kisiasa wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kuandamana katika eneo la al Deraz nchini humo.
-
Utawala wa Aal Khalifa na hatua zake za kubana zaidi uhuru wa kidini huko Bahrain
Apr 15, 2017 08:04Raia wa Bahrain waliokuwa wamejiandaa kutekeleza ibada ya Sala ya Ijumaa jana kwa mara nyingine tena walilazimika kusali furada kutokana na kizuizi kilichowekwa na askari jeshi wa utawala wa Aal Khalifa baada kupita miezi minane bila ya kufanyika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq (a.s) katika eneo la al Diraz nchini humo.
-
Amnesty International yaanzisha kampeni ya kumuungamkono kiongozi wa upinzani Bahrain
Apr 14, 2017 03:46Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeanzisha kampeni ya umma inayoutaka utawala wa Bahrain kumuachia huru haraka na bila ya masharti Sheikh Ali Salman, mwanazuoni mashuhuri wa nchini humo.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Apr 07, 2017 23:14Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Bahrain wamefanya maandamano jana kumuunga mkono na kuonyesha mshikamano wao kwa Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Mfalme wa Bahrain aafiki kuhukumiwa raia katika mahakama za kijeshi
Apr 03, 2017 09:27Mfalme wa Bahrain leo Jumatatu amesaini sheria ya kuifanyia marekebisho katiba ili kuzipatia mamlaka mahakama za kijeshi za nchi hiyo kusikiliza kesi za raia wa kawaida nchini humo.