-
Niger yachelea athari za kijamii na kiuchumi za mashambulizi ya Boko Haram
Mar 05, 2017 12:35Rais wa Niger amesema ana wasiwasi wa athari hasi za mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kwa hali ya kijamii na kiuchumi ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Maelfu ya raia wamekuwa wakimbizi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Mar 02, 2017 04:19Maelfu ya raia katika vijiji vya kaskazini mashariki mwa Nigeria wamelazimika kuwa wakimbizi wakihofia hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Kudhoofika nguvu ya magaidi nchini Nigeria
Feb 22, 2017 04:41Waziri wa Ulinzi wa Nigeria amesema kuwa kundi la Boko Haram limedhoofika baada ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha pamoja cha mataifa kadhaa cha kupambana na hujuma za kundi hilo.
-
11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram
Feb 17, 2017 10:57Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria lazidi kusonga mbele katika ngome za kundi la Boko Haram
Feb 03, 2017 00:18Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limeendelea kusonga mbele na kupata mafanikio makubwa katika operesheni zake dhidi ya kundi la kigaidi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Boko Haram washambulia na kuua askari watatu mashariki mwa Nigeria
Jan 29, 2017 04:24Askari watatu wa jeshi la Nigeria wameuawa katika shambulio jipya lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo moja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram
Jan 29, 2017 00:22Serikali ya Russia imesisitizia udharura wa kuungwa mkono kijeshi juhudi za serikali ya Cameroon kwa ajili ya kupambana na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.
-
Abuja: Wanawake wa Boko Haram wanatumia vitoto vichanga katika mashambulizi ya kigaidi
Jan 24, 2017 23:30Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, baadhi ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanatumia watoto wachanga wanaonyonya kwa ajili ya kuwahadaa askari usalama na kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Boko Haram yaendelea kutumia watoto kwenye hujuma zao Nigeria
Jan 24, 2017 04:36Maafisa wa serikali ya Nigeria wameelezea wasi wasi wao kuhusu hatua ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Harm kukithirisha mbinu ya kutumia watoto wadogo katika harakati zao za kigaidi ikiwemo kutekeleza mashambulizi ya mabomu.
-
UN yataka ushirikiano chanya katika mapambano dhidi ya Boko Haram
Jan 13, 2017 11:17Umoja wa Mataifa umetaka kuzidishwa ushirikiano kati ya nchi za eneo la Ziwa Chad katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.