-
Bunge la Iraq lataka kutimuliwa nchini humo askari wa Marekani
Nov 11, 2018 10:02Mwanasiasa wa ngazi za juu wa Iraq amesema Bunge la nchi hiyo linatazamiwa kujadili hoja ya kuondoka kikamilifu wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu huku Baghdad ikiituhumu Washington kuwa inaingilia masuala yake ya ndani.
-
Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 29, 2018 01:06Wawakilishi wa Bunge la Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya nchi yao ya kutaka kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Ethiopia yapata rais wa kwanza mwanamke
Oct 25, 2018 10:25Bunge la Ethiopia limemuidhinisha mwandiplomasia wa kimataifa, Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake
Oct 24, 2018 08:48Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tano la Umoja wa Afrika (AU) kimeanza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya miundo ya kiutawala na kidemokrasia na vilevile kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi za bara hilo.
-
Rais Shein afungua maonyesho ya utalii Zanzibar ya mwaka 2018
Oct 17, 2018 11:44Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa, maonyesho ya utalii yanayofanyika Zanzibar ni muhimu kwa Serikali na wananchi kwa kuwa yamelenga kuitangaza Zanzibar na sekta ya utalii ambayo ndio mhimili mkuu wa uchumi wa visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi.
-
Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja
Sep 28, 2018 00:46Serikali za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja mwaka huu.
-
Sheria ya kura ya maoni kuhusu katiba ya Libya yapasishwa
Sep 14, 2018 10:57Bunge la Libya lenye makao yake mashariki mwa nchi limefanya kikao cha dharura na kupasisha suala la kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Kuulizwa Rais wa Iran maswali bungeni ni kielelezo cha demokrasia katika mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Aug 29, 2018 03:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, jana Jumanne alifika katika Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, kujibu maswali ya wabunge. Kwa mujibu wa kipingee cha 88 cha Katiba ya Iran; kumuuliza maswali rais wa nchi ni moja ya majukumu ya wabunge.
-
Kinyang'anyiro cha ubunge chaingia kasi nchini Rwanda
Aug 16, 2018 03:36Nchini Rwanda, kampeni za ubunge za kuwania viti vya uwakilishi bungeni katika uchaguzi wa uliopangwa kufanyika mwezi ujao wa Septemba zinaendelea.
-
Bunge la Israel lapasisha sheria ya ubaguzi, Wabunge Waarabu wahamaki
Jul 19, 2018 11:12Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limeupasisha muswada wa sheria inayotaka kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee' licha ya upinzani mkali na malalamiko kutoka kila pembe ya dunia.