Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i49541-bunge_la_burundi_laitisha_kikao_cha_dharura_kutathmini_sheria_sauti
Bunge la Burundi lilikutana jana Alkhamisi, Novemba 15, 2018 katika kikao cha dharura cha kutathmini sheria ya kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Nov 16, 2018 02:39 UTC