Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel

    Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel

    May 29, 2020 23:48

    Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini

    Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini

    May 27, 2020 12:33

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema bunge ni nembo ya demokrasia kote duniani, lakini ni nembo ya demokrasia ya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Bunge la Awamu ya 11; sisitizo kuhusu matarajio na stratijia muhimu

    Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Bunge la Awamu ya 11; sisitizo kuhusu matarajio na stratijia muhimu

    May 27, 2020 05:53

    Awamu ya 11 ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imeanza leo Jumatano kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu

    Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu

    May 27, 2020 03:32

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaka Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililoanza shughuli zake leo Jumatano kuelekeza darubini na kujikita zaidi katika masuala ya uchumi wa kimuqawama na utamaduni.

  • Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel

    Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel

    May 26, 2020 03:33

    Kiongozi wa upinzani katika bunge la utawala haramu wa Kizayuni lijulikanalo kwa jina la Knesset sambamba na kukosoa vikali matamshi ya uchochezi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo aliyoyatoa mahakamani, amesema kuwa Netanyahu anafanya njama za kuibua vita vya ndani huko Israel.

  • Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    Bunge la Iran lapasisha muswada wa kukabili njama za Israel

    May 12, 2020 10:22

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imepasisha kwa kauli moja muswada wa dharura wa kukabili njama za utawala wa Kizayuni wa Israel, dhidi ya amani na usalama wa kieneo na kimataifa.

  • Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq

    Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq

    Apr 21, 2020 07:17

    Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.

  • Bunge la Jordan: Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel waachiliwe huru

    Bunge la Jordan: Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel waachiliwe huru

    Apr 12, 2020 07:47

    Bunge la Jordan limetoa wito wa kuachiliwa huru mateka wote wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya kutisha ya utawala haramu wa Israel.

  • Wabunge wa India wasusia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutetea sheria ya uraia

    Wabunge wa India wasusia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya kutetea sheria ya uraia

    Mar 14, 2020 22:59

    Hotuba ya Amit Shah, Waziri wa Mambo ya Ndani wa India katika bunge la nchi hiyo iliyokuwa na lengo la kutetea sheria mpya ya uraia, imekabiliwa na upinzani mkubwa.

  • Bunge la Tunisia lapasisha serikali mpya ya nchi hiyo

    Bunge la Tunisia lapasisha serikali mpya ya nchi hiyo

    Feb 27, 2020 07:39

    Hatimaye na baada ya vuta nikuvute na malumbano makubwa ya kisiasa, Bunge la Tunisia limepasisha serikali mpya ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Elyes Fakhfakh kwa kura 129 za diyo mkabala wa kura 77 za upinzani. Serikali mpya ya Tunisia imepasishwa baada ya mjadala mkali ulioendelea kwa muda wa masa 14.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS