Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Burundi yazindua kampeni maalumu ya kupiga vita mihadarati na pombe za kienyeji + Sauti

    Burundi yazindua kampeni maalumu ya kupiga vita mihadarati na pombe za kienyeji + Sauti

    Nov 22, 2018 14:22

    Serikali ya Burundi imezindua kampeni ya kupiga vita utengenezaji na utumiaji wa pombe za kienyeji na mihadarati katika jiji la Bujumbura. Wakati kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa siku 60 ikianzishwa, mkuu wa kata ya Kavumu amefutwa kazi hadharani akituhumiwa kushirikiana na wagemaji na wauzaji wa pombe hizo. Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ana maelezo zaidi.........

  • Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti

    Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti

    Nov 16, 2018 02:39

    Bunge la Burundi lilikutana jana Alkhamisi, Novemba 15, 2018 katika kikao cha dharura cha kutathmini sheria ya kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.

  • Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti

    Nov 13, 2018 05:53

    Kuna ripoti zinazosema kuwa wanawake na wasichana 4,500 raia wa Burundi wamepelekwa Saudi Arabia na Oman tangu mwaka 2015 katika kile kinachodaiwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni biashara ya binadamu. Serikali ya Burundi imeitisha mkutano maalumu kujadili suala hilo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...

  • SAUTI, Serikali ya Burundi yainyoshea kidole cha lawama Rwanda, yaihusisha na mauaji ya kuvizia nchini humo

    SAUTI, Serikali ya Burundi yainyoshea kidole cha lawama Rwanda, yaihusisha na mauaji ya kuvizia nchini humo

    Sep 20, 2018 11:21

    Serikali ya Burundi imemnyoshea kidole cha lawama jirani yake Rwanda kutokana na vitendo vya mauaji ya mara kwa mara vinavyotekelezwa na watu wanaodaiwa na Bujumbura kuwa wanatokea upande wa Rwanda.

  • Burundi yatishia kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Burundi yatishia kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

    Sep 15, 2018 03:25

    Serikali ya Burundi imetishia kwamba, endapo mwenendo wa kuwa na matashi ya kisiasa wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa utaendelea, nchi hiyo itajiondoa katika baraza hilo.

  • Upinzani Burundi wataka kufikia tamati mazungumzo ya amani

    Upinzani Burundi wataka kufikia tamati mazungumzo ya amani

    Sep 09, 2018 02:51

    Viongozi wa upinzani nchini Burundi wametaka mazungumzo ya amani yanayotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu kuwa ya mwisho.

  • UN: Burundi ingali inatenda jinai dhidi ya binadamu

    UN: Burundi ingali inatenda jinai dhidi ya binadamu

    Sep 05, 2018 09:15

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu iliyotolewa leo inaeleza kuwa jinai zaidi dhidi ya binadamu zimetekelezwa Burundi mwaka 2017 na huu wa 2018.

  • SAUTI, Vyama vya upinzani Burundi vimetaka kuteuliwa upya wajumbe wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo

    SAUTI, Vyama vya upinzani Burundi vimetaka kuteuliwa upya wajumbe wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo

    Sep 03, 2018 11:56

    Chama cha upinzani nchini Burundi MRC kimetaka kuitishwa upya uteuzi wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ikiwa ni katika kusubiri kikao cha majadiliano kilichoitishwa na Benjamin Mkapa, rais mustaaf wa Tanzania.

  • SAUTi, Raia wa Burundi waitaka serikali kudhamini mifuko ya makaratasi kabla ya kuzuia ile ya plastiki

    SAUTi, Raia wa Burundi waitaka serikali kudhamini mifuko ya makaratasi kabla ya kuzuia ile ya plastiki

    Aug 30, 2018 12:29

    Baada ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kusaini sheria inayopiga marufuku matumizi na biashara ya mifuko ya plastik nchini humo, wananchi wamekuwa wakihimizwa kuachana na matumizi ya mifuko ya aina hiyo ambayo inaharibu mazingira kwa kiasi kikubwa.

  • Wahitimu vyuo vikuu Burundi wahimizwa kujiajiri + Sauti

    Wahitimu vyuo vikuu Burundi wahimizwa kujiajiri + Sauti

    Aug 23, 2018 12:24

    Serikali ya Burundi imekuwa ikiwahimiza vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu kujiunga na kazi mbali mbali za kiufundi nchini humo katika dhamira ya kukabiliana na ukosefu ajira. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio ripota wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS