-
Canada kuitambua rasmi nchi ya Palestina mwezi Septemba mwaka huu
Jul 31, 2025 12:21Markk Carney Waziri Mkuu wa Canada ametangaza kuwa nchi hiyo imepanga kuitambua rasmi nchi ya Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu.
-
Kwa nini watu wengi duniani wana mtazamo hasi kuhusu Marekani?
Jul 10, 2025 02:49Kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa na Kituo cha Utafiti cha Pew, watu wa Canada na Mexico, majirani wawili wa karibu wa Marekani, wanaitambua nchi hiyo kuwa tishio kubwa zaidi kwao.
-
Mark Carney: Canada haitasahau usaliti wa Marekani/ Mahusiano ya zamani yamekwisha
Apr 29, 2025 12:01Waziri Mkuu mteule wa Canada, Mark Carney ametoa ujumbe mzito kwa Marekani, akisema kwamba Ottawa haipaswi "kusahau usaliti wa Washington ambao umeathiri vibaya uhusiano wa kibiashara wa nchi hizo mbili.
-
Wacanada waanza "kumtia adabu" Trump, bidhaa za Marekani zasusiwa Canada
Apr 02, 2025 02:31Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.
-
Marekani, Mshirika Asiyeaminika
Mar 31, 2025 02:39Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo katika nyanja za kiuchumi na kibiashara, na amekiri kwamba: "Marekani si mshirika wa kuaminika tena."
-
Trump asaini amri ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura Marekani, apingwa vikali
Mar 27, 2025 05:56Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya kiutekelezaji ya kubadilisha mfumo wa uchaguzi na upigaji kura wa nchi hiyo, inayojumuisha sharti la uthibitisho wa uraia kwa usajili wa wapiga kura.
-
Canada kuangalia upya mkataba wa kununua ndege za kivita za Marekani
Mar 16, 2025 06:04Waziri Mkuu mpya wa Canada, Mark Carney ametoa amri ya kupitiwa upya mkataba wa nchi hiyo na kampuni ya silaha ya Marekani unaohusiana na kuiuzia Canada ndege za kivita za F-35.
-
Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump
Mar 09, 2025 02:36sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada na kuijumuisha kwenye majimbo ya Marekani, wananchi wenye hasira wa Canada nao wameamua kutokaa kimya na wameanza kwa nguvu kutekeleza vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani.
-
Wacanada wenye hasira wamjibu kivitendo Donald Trump
Mar 08, 2025 11:17sambamba na hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuongeza mashinikizo kwa Ottawa nwa vitisho vyake vya kuiteka Canada na kuijumuisha kwenye majimbo ya Marekani, wananchi wenye hasira wa Canada nao wameamua kutokaa kimya na wameanza kwa nguvu kutekeleza vikwazo dhidi ya bidhaa za Marekani.
-
Theluthi moja ya Wacanada wanaichukulia Marekani kuwa ni "adui" wa nchi yao
Feb 22, 2025 05:54Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa idadi kubwa ya Wacanada wanaitazama Marekani kama adui yao kutokana na kauli na vitisho vilivyotolewa na rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya nchi yao.