-
Abuja yaijia juu Canada kwa kumyima 'viza' Mkuu wa Jeshi la Nigeria
Feb 14, 2025 12:10Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Nigeria, Jenerali Christopher Musa, ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya ubalozi wa Canada katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, kumnyima yeye na maafisa wengine wakuu wa kijeshi viza ya kwenda Canada kuhudhuria hafla ya michezo ya maveterani wa vita huko Vancouver.
-
Jimbo la Ontario Canada laziwekea vikwazo kampuni za Marekani
Feb 04, 2025 02:48Baada ya Donald Trump kuiambia Canada kuwa atatoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa za nchi hiyo zinazoingia Marekani, Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau amejibu kivitendo hatua hiyo akitangaza kuwa bidhaa za Marekani zinazoingia nchini humo nazo zitatozwa ushuru wa asilimia 25.
-
Vita baina ya Marekani na Canada sasa vyaingia michezoni; wimbo wa taifa wa Marekani wazomewa
Feb 03, 2025 10:31Mashabiki wa michezo wa Canada wamekuwa wakizomea wimbo wa taifa wa Marekani kila unapopigwa katika mechi mbalimbali ikiwa ni kuonesha hasira zao kwa amri ya rais wa Marekani Donald Trump ya kutozwa ushuru mkubwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokea Canada.
-
Uroho wa Trump katika muhula wa pili wa urais wake
Jan 27, 2025 04:41Rais Donald Trump wa Marekani ameanza muhula wake wa pili wa uongozi huku akiweka hadharani uroho wake wa kupora ardhi, biashara na fedha za mataifa mengine ambapo ametangaza wazi azma yake ya kutaka kunyakua na kuunganisha ardhi za nchi huru na Marekani na pia kuhodhi kandarasi zenye faida kubwa kutoka kwa washirika wa Washington.
-
Canada: Tuko tayari kujibu vitisho vya ushuru vya Trump
Jan 18, 2025 10:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada amesema kuwa nchi hiyo imejiandaa kujibu hatua yoyote ya Washington ya kuiwekea Canada ushuru mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada ameeleza haya siku chache kabla Rais mteule wa Marekani, Donald Trump hajaanza kazi rasmi katika Ikulu ya White House.
-
Majibu ya nchi mbalimbali kwa madai yasiyo na msingi ya Trump kuhusu kuinyakua Greenland
Jan 09, 2025 12:53Baada ya Rais mteule wa Marekani, Donald Trump kusisitiza madai yake ya kutaka kunyakua maeneo Canada, Panama na Greenland, na hatua zake, ikiwa ni pamoja na kumtuma mtoto wake wa kiume huko Greenland kuandaa mazingira ya unyakuzi huo, nchi hizo zimetoa majibu makali dhidi ya hatua ya Trump.
-
WHO yazindua mpango wa miezi sita wa kuzuia usambaaji wa Mpox
Aug 27, 2024 06:57Shirika la Afya Duniani WHO limezindua mpango wa miezi sita wa kusaidia kukomesha usambaaji wa maambukizi ya ugonjwa wa mpox.
-
Canada yazuia Wairani kushiriki uchaguzi wa rais wa Iran nchini humo
Jun 26, 2024 11:50Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema Wairani walioko katika nchi za Canada na Saudi Arabia hawatapata fursa ya kushiriki uchaguzi wa rais wa mapema unaotazamiwa kufanyika Ijumaa ijayo.
-
Radiamali ya Iran kwa hatua ya kihasama ya Canada dhidi ya SEPAH
Jun 21, 2024 10:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali hatua ya kihasama na kiuadui ya serikali ya Canada dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).
-
Iran yamuita balozi wa Italia kulalamikia hatua ya Canada dhidi ya IRGC
Jun 21, 2024 07:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Italia mjini Tehran ambaye anawakilisha pia maslahi ya Canada hapa nchini, kulalamikia hatua ya serikali ya Ottawa ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi".