Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan

    China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan

    Mar 23, 2023 03:26

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelalamikia vikali safari ya Bettina Stark-Wattsinger, Waziri wa Elimu wa Ujerumani katika Kisiwa cha Taiwan na kusisitiza kuwa inapinga safari rasmi ya waziri huyo katika kisiwa hicho kinachomilikiwa na serikali ya Beijing.

  • Juhudi za China za kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Juhudi za China za kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Mar 21, 2023 03:22

    Rais Xi Jinping wa China, amesema kuwa mpango wa nchi yake wa kutatua mzozo wa Ukraine unaakisi maoni ya ulimwengu, na kuwa vipengee 12 vya mpango huo vitaondoa kabisa taathira hasi za mgogoro huo.

  • Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia

    Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia

    Mar 16, 2023 22:45

    Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.

  • Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Iran, China na Russia zafanya luteka ya pamoja katika Bahari ya Oman

    Mar 16, 2023 07:55

    Vikosi vya majini vya Iran, Russia na China vinaendelea na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Bahari ya Oman, huo ukiwa ni muendelezo wa juhudi za nchi tatu hizo za kuimarisha ushirikiano wa majeshi yao ya baharini.

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya China, Iran na Russia yaanza katika Bahari ya Oman

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya China, Iran na Russia yaanza katika Bahari ya Oman

    Mar 15, 2023 04:28

    Wizara ya Ulinzi ya China imetangaza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini yanayoishirikisha nchi hiyo, Iran na Russia yatafanyika katika Bahari ya Oman kuanzia leo Jumatano hadi Machi 19.

  • China yaikosoa vikali Marekani

    China yaikosoa vikali Marekani

    Mar 09, 2023 04:25

    Rais Xi Jinping wa Uchina, amehutubu kwenye mkutano wa mwaka wa chama tawala cha Kikomunisti, ambapo ameishambulia vikali Marekani na kusema: Washington inaongoza kampeni ya "kuzuia, kuzingira na kuikandamiza" China.

  • China yaongeza bajeti ya kijeshi sambamba na kuongezeka mikwaruzano na Marekani

    China yaongeza bajeti ya kijeshi sambamba na kuongezeka mikwaruzano na Marekani

    Mar 06, 2023 06:28

    Serikali ya China imeongeza bajeti yake ya kijeshi kwa asilimia 7.2 hadi dola bilioni 224 ikilinganishwa na mwaka jana sambamba na kuendelea kushuhudiwa mivutano kati ya nchi hiyo na Marekani.

  • Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Feb 25, 2023 22:54

    Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.

  • Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Kiwewe cha Marekani kwa kuweko uhusiano wa karibu wa Russia, China na Iran

    Feb 17, 2023 23:07

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kuwa, matamshi ya viongozi wa China kuhusiana na kuwa na urafiki usio na mipaka na Russia yamepelekea kuibuka wasiwasi nchini Marekani.

  • Rais Raisi: China inakaribisha juhudi za Iran za kujiunga na BRICS

    Rais Raisi: China inakaribisha juhudi za Iran za kujiunga na BRICS

    Feb 16, 2023 08:03

    Rais Ebrahim Raisi amesema China imekaribisha juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwa mwanachama wa jumuiya ya BRICS, inayojumuisha nchi tano zinazoongoza kwa uchumi unaoinukia duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS