-
China: Tahadhari ya kutokea vita na Marekani sio maneno tu bali ni ukweli halisi
Jan 31, 2017 00:57Viongozi wa China wamesema kuwa, indhari ya kutokea vita kati ya nchi hiyo na Marekani katika kipindi cha Rais Donald Trump, sio madai pekee, bali ni ukweli halisi.
-
China na Russia zajiandaa kukabiliana na mfumo wa makombora wa Marekani wa THAD
Jan 14, 2017 00:26Serikali za Uchina na Russia zimeimarisha mahusiano yao kwa ajili ya kukabiliana na mpango wa uwekaji wa mfumo wa makombora wa Marekani THAD, ambao umepangwa kuwekwa nchini Korea Kusini mwaka huu wa 2017.
-
Zarif: Kipindi cha ubeberu wa Marekani Mashariki ya Kati kimepita
Dec 06, 2016 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za ubeberu wa nchi za Magharibi hususan Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, zimepita na kuyoyoma.
-
Dakta Zarif: Tunataka kuufikisha uhusiano wa Iran na China katika kiwango cha kiistratejia
Dec 05, 2016 03:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano wa kiistratejia baina ya Iran na China.
-
Hasira za China kwa uchokozi mpya wa Donald Trump
Dec 04, 2016 08:14Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ameikasirisha mno China kwa kitendo chake kisicho cha kidiplomasia cha kuzungumza kwa simu na rais wa kisiwa cha Taiwan ambacho China inakihesabu kuwa ni sehemu isiyotenganishika na nchi hiyo.
-
China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini
Nov 25, 2016 01:26Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa tahadhari juu ya makubaliano ya kijeshi baina ya Japan na Korea Kusini.
-
Iran kuimarisha uhusiano wa kijeshi na China
Nov 15, 2016 23:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inakaribisha kuimarishwa uhusiano na China katika nyanja zote ikiwemo sekta ya ulinzi.
-
China yakosoa chokochoko za kijeshi za Marekani barani Asia
Oct 12, 2016 04:20Waziri wa Ulinzi wa China, Chang Wanquan, amekosoa vikali chokochoko za kijeshi za Marekani katika eneo la bara Asia
-
100 wapoteza maisha kutokana na mafuriko China
Jul 21, 2016 09:46Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kaskazini mwa China.
-
China na Marekani zatunishiana misuli juu ya Bahari ya China Kusini
Jul 13, 2016 23:38China imeionya Marekani na waitifaki wake katika eneo dhidi ya kugeuza kadhia ya Bahari ya China Kusini kuchochea taharuki na vita.