-
Mgogoro unaoshadidi wa Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Apr 14, 2025 02:32Baada ya kuanza vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza, ripoti zinaonesha ongezeko la asilimia 140 ya uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu katika nchi za Ulaya, hasa Ujerumani — jambo ambalo limegeuka kuwa tishio kubwa kwa jamii za Ulaya.
-
Balozi wa Iran akosoa kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Mar 27, 2025 04:09Ali Bahraini, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, amekosoa kuenea kwa chuki dhidi ya Uislamu au kwa maneno mengine Islamophobia katika nchi za Magharibi
-
Mchezo mpya wa kuigiza wa serikali wa Biden wa kujisafisha na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 24, 2024 02:39Wakati Marekani inaendelea kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel huko Gaza, serikali ya Joe Biden imeidhinisha kimaonyesho tu hati ya "Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu" ili kujitakasa bila kutaja mizizi na chanzo cha ukatili na chuki hizo za serikali dhidi ya Waislamu nchini Marekani.
-
Chuki dhidi ya Uislamu Magharibi zimeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 15, 2024 05:34Washiriki wa mkutano wa London uliozungumzia "Uenezaji Hofu na Chuki Dhidi ya Uislamu" (Islamophobia) wametahadharisha kuhusu athari za vita vya Ghaza kwa ongezeko la jinai zinazofanywa katika nchi za Magharibi kwa sababu ya kuwachukia Waislamu.
-
Uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu waongezeka Ulaya baada ya vita vya Gaza
Jun 21, 2024 02:15Ripoti za chuki na ukiukwaji wa haki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kuogofya katika nchi za Ulaya tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7, 2023.
-
Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Mar 18, 2024 02:33Ijumaa, Februari 15, Rais Joe Biden wa Marekani huku akikiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo tangu kuanza mashambulizi ya Wazayuni huko Gaza alisema: 'Waislamu kote duniani wanapitia hali ngumu kutokana na imani yao.'
-
Iran yatiwa wasiwasi na kushtadi kampeni za chuki dhidi ya Uislamu
Mar 16, 2024 07:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu inatiwa wasiwasi na hatua ya kupanuka mtandao wa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.
-
Ubaguzi, chuki zawalazimisha wanawake Waislamu kuhama Ufaransa
Feb 17, 2024 11:33Kuongezeka chuki katika ngazi za kisiasa na kijamii dhidi ya wanawake Waislamu hasa wanaovalia hijabu na niqabu nchini Ufaransa kumepelekea idadi kubwa ya wanawake hao waihame nchi hiyo ya Ulaya.
-
Ushuhuda kwa Al Jazeera: Sweden imekuwa nchi ya chuki na ubaguzi dhidi ya wageni na Waislamu
Sep 05, 2023 07:45Sweden ambayo imekuwa ikijulikana kama mfano wa ustahamilivu tangu miaka ya 1970, imebadilika sana katika miongo michache iliyopita na kuwa nchi ya ubaguzi wa rangi, kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni na wahamiaji, na kushamiri harakati zenye misimamo mikali za mrengo wa kulia.
-
Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Jul 28, 2023 02:25Tangu kuasisiwa kwake, utawala ghasibu wa Kizayuni sambamba na kupora ardhi za Wapalestina, umefanya jinai zisizohesabika dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, pamoja na kuchochea vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.