Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  • China yalaani njama ya Ulaya ya kushamirisha

    China yalaani njama ya Ulaya ya kushamirisha "Uenezaji Chuki Dhidi ya Uislamu" (Islamophobia)

    Jul 23, 2023 02:18

    Mwakilishi wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amelaani kitendo kiovu kilichofanywa na Sweden na Denmark cha kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kusisitiza kuwa Beijing inapinga uenezaji chuki dhidi ya Uislamu.

  • "Umoja ndiyo njia bora ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu"

    Jul 09, 2023 10:53

    Rais wa Uturuki amesema kuna haja kwa umma wa Kiislamu kuungana na kuwa na mshikamano, ili uweze kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vilivyoshtadi katika nchi za Magharibi.

  • Idara ya Kuzuia Uhalifu Ujerumani: Makumi ya misikiti imeshambuliwa nchini

    Idara ya Kuzuia Uhalifu Ujerumani: Makumi ya misikiti imeshambuliwa nchini

    May 16, 2023 01:31

    Idara ya Kuzuia Uhalifu ya Ujerumani imetangaza kwamba makumi ya mashambulizi dhidi ya misikiti yamesajiliwa nchini humo mwaka 2022.

  • Kiongozi wa Waislamu Canada: Waislamu kote nchini wana sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya hujuma ya msikiti wa Ontario

    Kiongozi wa Waislamu Canada: Waislamu kote nchini wana sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya hujuma ya msikiti wa Ontario

    Apr 12, 2023 02:12

    Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu nchini Canada ameeleza wasiwasi wake kuhusu kushamiri vetendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo baada ya mwanamume mmoja kuvamia msikiti wa jimbo la Ontario Alhamisi iliyopita, kutoa vitisho sambamba na kujaribu kuwavamia waumini nje ya msikiti huo.

  • Wanawake wanaovaa Hijabu Austria wakabiliwa na chuki dhidi ya Uislamu

    Wanawake wanaovaa Hijabu Austria wakabiliwa na chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 30, 2023 07:40

    Asasi moja isiyo ya kiserikali imeripoti kuwa, wanawake wanaovaa vazi la staha la Hijabu nchini Austria wanakabiliwa na ongezeko la ubaguzi na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu ikilinganishwa na wanaume katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • "Adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu"... Wafaransa wamshambulia afisa aliyetetea haki za Waislamu

    Mar 17, 2023 02:27

    Wanaharakati na wanasiasa wa Ufaransa wamemshambulia kwa maneno Mratibu wa Kamisheni ya Ulaya ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Waislamu, Marion Lalisse, baada ya kuchapisha kipande cha video kwa lugha ya Kiarabu katika Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, na kufikia hatua ya kumutaja kuwa ni "adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu."

  • Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu

    Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 16, 2023 11:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano alituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.

  • Ofisi ya Uwakilishi ya Iran mjini New York: Wakati umewadia kwa jamii ya kimataifa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

    Ofisi ya Uwakilishi ya Iran mjini New York: Wakati umewadia kwa jamii ya kimataifa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 16, 2023 11:15

    Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa yaliyo na makao makuu yao mjini New York Marekani, imeandika kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu kwamba: "Iran inasisitiza mshikamano wake kamili na wahanga wa mashambulio yanayochochewa na chuki dhidi ya Uislamu kote duniani."

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Wenye chuki dhidi ya Uislamu hawaamini maadili na dini

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Wenye chuki dhidi ya Uislamu hawaamini maadili na dini

    Mar 15, 2023 12:53

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.

  • Kukosoa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu

    Kukosoa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu

    Mar 12, 2023 12:12

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS