Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

chuki dhidi ya Uislamu

  • Kituo cha Kiislamu chachomwa moto Marekani siku ya kwanza ya Ramadhani

    Kituo cha Kiislamu chachomwa moto Marekani siku ya kwanza ya Ramadhani

    Apr 26, 2020 07:55

    Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limezitaka mamlaka husika nchini humo kuchunguza kitendo cha kuteketezwa kwa moto Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Missouri, katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Feb 18, 2020 08:13

    Kujitokeza makundi ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu mpaka na kuenea katika nchi za Magharibi vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na makundi hayo, na vile vile kujitokeza mgogoro wa wakimbizi, ambao akthari yao ni Waislamu, yote hayo yametumiwa na baadhi ya viongozi na vyombo vya habari vya Magharibi kama kisingizio cha kueneza hofu na chuki dhidi ya Uislamu; jambo ambalo limeufanya Umoja wa Mataifa ulazimike kupaza sauti yake.

  • Guterres abainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Guterres abainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu duniani

    Feb 17, 2020 07:48

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anatiwa wasiwasi na kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu duniani na akasema mwenendo huo hauvumiliki.

  • Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu

    Maelfu ya Waislamu waandamana Ufaransa kupinga chuki dhidi ya Uislamu

    Nov 11, 2019 12:48

    Maelfu ya watu wameshiriki maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kulalamikia chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.

  • Shambulizi dhidi ya msikiti Ufaransa; watu wawili wapigwa risasi

    Shambulizi dhidi ya msikiti Ufaransa; watu wawili wapigwa risasi

    Oct 29, 2019 03:41

    Watu wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa risasi nje ya msikiti mmoja katika mji wa Bayonne, kusini magharibi mwa Ufaransa.

  • Mwanafunzi wa Kiislamu Marekani aondolewa mashindanoni kwa kuvaa hijabu

    Mwanafunzi wa Kiislamu Marekani aondolewa mashindanoni kwa kuvaa hijabu

    Oct 26, 2019 11:54

    Mwanafunzi wa kike wa shule moja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameondolewa kwenye mashindano ya mbio za nyika kwa kuvaa vazi la stara la hijabu.

  • Boris Johnson aushutumu Uislamu kuwa umezuia maendeleo katika baadhi ya maeneo duniani

    Boris Johnson aushutumu Uislamu kuwa umezuia maendeleo katika baadhi ya maeneo duniani

    Jul 16, 2019 12:03

    Mgombea anayeongoza katika kinyang'anyiro cha uwaziri mkuu wa Uingereza ametoa matamshi ya kuushutumu Uislamu kwa kudai kuwa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu inazuia kupatikana ustawi na maendeleo katika jamii.

  • Waziri Mkuu wa Pakistan: Umma upambane na chuki dhidi ya Uislamu

    Waziri Mkuu wa Pakistan: Umma upambane na chuki dhidi ya Uislamu

    Jun 01, 2019 11:25

    Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ametoa mwito kwa umma wa Kiislamu kupambana na dhulma na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.

  • CAIR yaonya kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya mbunge Muislamu kutishiwa kuuawa Marekani

    CAIR yaonya kuhusu kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya mbunge Muislamu kutishiwa kuuawa Marekani

    Apr 07, 2019 02:59

    Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limeonya kuwa vitendo vya uhalifu vinavyotokana na chuki dhidi ya Waislamu vimeongezeka nchini humo, baada ya mtu mmoja kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa kutishia kumuua Mbunge Muislamu katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ilhan Omar.

  • Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu

    Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu

    Apr 04, 2019 02:35

    Bunge la Australia limepiga kura kwa kishindo kupasisha hoja ya kumlaani na kumkosoa Seneta mwenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia, kutokana na matamshi yake ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu baada ya shambulizi la kigaidi la mwezi uliopita nchini New Zealand.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS