-
Familia za Daesh zakimbia kaskazini mwa mkoa wa Salahuddin Iraq
Sep 04, 2017 03:43Sambamba na kukaribia wakati wa kutekelezwa oparesheni ya kuukomboa mji wa Shirqat katika mkoa wa Salahhudin huko kaskazini mwa Iraq, familia za magaidi wa kundi la Daesh zimeripotiwa kulikimbia eneo hilo usiku kucha.
-
Magaidi wa Daesh kusafishwa kikamilifu Iraq, karibuni hivi
Sep 03, 2017 02:29Mbunge mmoja wa Iraq ambaye pia anashughulikia masuala ya usalama nchini humo amesema kuwa, karibuni hivi itaanza operesheni ya kuwafurusha magaidi wa Daesh katika ngome yao iliyobakia ya al Hawija na hivyo kuwasafisha kabisa magaidi hao nchini Iraq.
-
Hizbullah: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawakuwa na budi ila kujisalimisha
Aug 29, 2017 07:25Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Qalamun, hawakuwa na chaguo jingine ghairi ya kujisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.
-
Magaidi wa Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa Hizbullah ya Lebanon
Aug 27, 2017 14:38Wapiganaji wenye silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.
-
Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video
Aug 26, 2017 15:26Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.
-
Mafanikio makubwa ya muqawama; kuongezeka kasi ya kuangamizwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS)
Aug 26, 2017 03:53Mwenendo wa kuliangamiza na kulitokomeza kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh umezidi kushika kasi kutokana na azma thabiti na mkakati madhubuti unaotekelezwa na mhimili wa muqawama katika mapambano na kundi hilo.
-
UN yatiwa wasiwasi na hali za wanawake wa Kiiraqi katika miji inayokaliwa kwa mabavu na Daesh
Aug 23, 2017 03:47Ujumbe wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Iraq na ofisi ya haki za binadamu ya umoja huo zimetoa ripoti na kutangaza kuwa wanawake na wasichana wa Kiiraqi wanaoishi kwenye miji inayokaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanakabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Operesheni kali ya ulipizaji kisasi dhidi ya magaidi yaanza rasmi Syria, makumi ya magaidi waangamizwa
Aug 22, 2017 08:19Hatua ya kwanza ya operesheni ya Kikosi cha Brigedi ya Sayyidu Shuhadaa ya kulipizaji kisasi kwa ajili shahidi Mohsen Hojaji imeanza rasmi kwa kuangamiza zaidi ya magaidi 30 mashariki mwa Syria.
-
Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa
Aug 22, 2017 03:22Polisi ya Uhispania imemuua Younes Abouyaaqoub aliyetekeza shambulio la kigaidi la Alkhamisi wiki iliyopita katika mji wa Barcelona.
-
Hizbullah ya Lebanon: Lengo la kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua sura ya Uislamu
Aug 18, 2017 15:01Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, lengo la vitendo vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua haiba na sura halisi ya Uislamu.