-
Watu 36 wauawa katika mapigao ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 01, 2020 04:42Kwa akali watu 36 wameuawa katika mapigano ya kikabila yanayoendelea kushuhudiwa katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Ripoti: Wasudani hawaridhishwi na hukumu iliyotolewa dhidi ya Omar al Bashir
Dec 15, 2019 09:57Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wananchi wa Sudan hawakuridhishwa na hukumu ya kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho ya kitabia iliyotolewa dhidi ya kiongozi aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma na ufisadi.
-
Baraza la Usalama la UN laafiki kurefushwa muda wa kuhudumu UNAMID katika eneo la Darfur, Sudan
Nov 01, 2019 03:49Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeafiki kurefushwa muda wa kuhudumu kikosi cha pamoja cha askari wa kulinda amani wa umoja huo na wale wa Umoja wa Afrika kinachojulikana kama UNAMID katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17
Jun 13, 2019 21:58Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa kwa akali watu 17 wameuawa katika kijiji cha Deleij katikati mwa jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Mauaji Sudan yanaendelea, 11 wauawa 20 wajeruhiwa Darfur
Jun 12, 2019 21:53Kamati Kuu ya Madaktari wa Sudan imetangaza habari ya kuuawa watu 11 na kujeruhiwa wengine 20 katika machafuko yaliyotokea kwenye eneo la al Dalij la jimbo la Darfur, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Uchaguzi DRC: Felix Tshisekedi arejea ili kuanza kampeni zake za uchaguzi
Nov 28, 2018 01:08Kiongozi wa chama kikongwe zaidi cha upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amerejea nchini humo kwa ajili ya kuanza kampeni za kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi ujao.
-
Baraza la Usalama laongeza muda wa kuhudumu kikosi cha UNAMID huko Darfur Sudan
Jul 14, 2018 09:10Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu kikosi cha pamoja cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika UNAMID katika jimbo la Darfur la magharibi mwa Sudan.
-
Indhari kuhusu uingiliaji wa utawala haramu wa Kizayuni eneo la Darfur, Sudan
Jun 17, 2018 22:02Chama cha Kongresi ya Kitaifa nchini Sudan kimetahadharisha kuhusiana na uingiliaji wa utawala haramu wa Israel eneo la Darfur huko Sudan kwa lengo la kuibua machafuko nchini humo.
-
AU kuanzisha tena juhudi za usuluhishi kati ya serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Darfur
Dec 20, 2017 23:13Umoja wa Afrika utaanzisha tena usuluhishi kwa njia ya mazungumzo kati ya serikali ya Sudan na waasi wa Darfur baada ya mazungumzo hayo kusimama kwa muda wa miezi 16.
-
Waasi wa Darfur watangaza kusitisha vita kwa miezi miwili
Dec 02, 2017 03:51Makundi matatu ya waasi wa eneo la Darfur huko magharibi mwa Sudan yametangaza usitishaji vita wa miezi miwili hadi tarehe 31 Januari mwaka 2018.