-
Velayati na Nouri al-Maliki wasisitiza kuungwa mkono Kambi ya Muqawama
Aug 08, 2025 07:45Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amefanya mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki ambapo pande hizo mbili zimejadili matukio ya kikanda na kusisitiza udharura wa kuungwa mkono Kambi ya Muqawama.
-
Velayati: Mapinduzi ya Kiislamu yamepiga hatua kubwa ndani ya miaka 40
Feb 10, 2020 12:49Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, taifa hili limepata mafanikio mengi katika nyuga za kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya miongo minne ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Dakta Velayati: Siasa za Uholanzi na Marekani kuhusu JCPOA zinatofautiana
Oct 22, 2017 14:00Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema katika mazungumzo yake hapa mjini Tehran na ujumbe wa kibunge wa Uholanzi kwamba, siasa za Uholanzi na Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zinatofautiana.
-
Velayati: Kundi la 5+1 liilazimishe Marekani itekeleze majukumu yake kuhusu JCPOA
Oct 12, 2017 14:10Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) si makubaliano ya pande mbili ambayo Wamarekani wanaweza kuyafuta wao wenyewe.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu: Marekani itakufa nayo ndoto ya kukagua vituo vya kijeshi vya Iran
Aug 29, 2017 14:57Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: Marekani itakufa nayo ndoto yake ya kutamani iwe na uwezo wa kutumia kisingizio cha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA au kisingizio kingine chochote kile ili kukagua vituo vya kijeshi vya Iran.
-
Velayati: Waislamu wana nafasi muhimu katika ustaarabu wa mwanadamu
Aug 24, 2017 02:37Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Azad nchini Iran amesema Waislamu wana nafasi muhimu katika ustaarabu wa mwanadamu na waliweka msingi katika sayansi nyingi zikiwemo za tiba, nujumu na fizikia.
-
Dakta Velayati: Harakati za kujitenga ni kwa maslahi ya maadui wa Uislamu
Jul 11, 2017 03:08Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, harakati yoyote ile yenye lengo la kujitenga katika Mashariki ya Kati na katika ulimwengu ni kwa manufaa ya maadui wa Uislamu hususan Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Velayati: Mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya misimamo mikali
Jul 04, 2017 03:45Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya matakwa ya mirengo yenye misimamo mikali na waungaji mkono wao.
-
Velayati: Mpango wa ulinzi wa Iran hauna uhusiano wowote na Marekani
Mar 01, 2017 16:02Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratijia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amesema: Mfumo wa makombora wa Iran ni wa kiulinzi na wa lengo la kuihami na kuilinda nchi.
-
Velayati: Marekani inafanya 'makeke hewa' dhidi ya Iran
Feb 03, 2017 07:46Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratijia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amevielezea vitisho ilivyotoa Marekani kufuatia jaribio la kombora lililofanywa na Iran kuwa ni "makeke hewa".