-
Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS
Feb 11, 2025 02:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za BRICS iwapo dola itafutwa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi hizo, na kusisitiza kuwa ushirikiano wa nchi wanachama wa BRICS unalenga kuimarisha uwezo wa kijamii, kiuchumi na kibinadamu wa nchi hizo.
-
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran: Sarafu ya dola tumeiondoa katika miamala ya Iran na Russia
Jul 13, 2024 12:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa miamala yote ya kibiashara kati ya Iran na Russia itafanyika bila ya kutumika sarafu ya dola.
-
Zambia kujinaisha matumizi ya sarafu ya dola
Jul 03, 2024 06:43Benki Kuu ya Zambia imeandaa rasimu ya kanuni mpya zinazokusudia kuzuia matumizi ya sarafu za kigeni hususan dola ya Marekani katika miamala ya biashara ya ndani ya nchi.
-
Kundi la BRICS ni jukwaa la nchi wanachama kufanya biashara bila dola ya Marekani
Jan 08, 2024 03:35Afisa moja wa Russia amewasilisha takwimu za uzalishaji na matumizi ya nafaka katika kundi la BRICS, na kubainisha kuhusu uwezo wa kundi hilo kufanya biashara bila kutumia sarafu ya dola ya Marekani.
-
Hatua mpya ya Russia ya kutumia sarafu za kitaifa na kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani
Sep 23, 2023 02:18Serikali ya Russia imeidhinisha orodha ya nchi 31, zikiwemo Iran, Brazil, Venezuela na Cuba, ambazo benki zao zinaweza kushiriki na kufanya biashara katika soko la fedha za kigeni nchini Russia.
-
Wanachama wa BRICS wakubaliana kuhusu utaratibu wa kupanua kundi hilo
Aug 25, 2023 02:24Dr. Naledi Pandor, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini, ametangaza kuwa nchi wanachama wa BRICS zimeafikiana kuhusu misingi muhimu ya kupanuliwa kundi hilo. Wanachama wa sasa wa BRICS ni Russia, China, Brazil, India na Afrika Kusini.
-
Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa
Aug 05, 2023 03:56Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.
-
Sisitizo la Rais wa Algeria la kuiunga mkono Russia licha ya mashinikizo ya Magharibi
Jun 18, 2023 02:47Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria siku ya Alkhamisi alisema baada ya kuonana na rais mwenzake wa Russia mjini Moscow kwamba, Algiers iko chini ya mashinikizo makubwa ya madola ya Magharibi yanayoitaka isishirikiane na Moscow kivyovyote vile.
-
Ombi la Misri la kujiunga na BRICS; ishara ya kupunguza uhusiano wake na nchi za Magharibi
Jun 16, 2023 06:33Ikiwa ni katika mwenendo wa nchi za dunia kuvutiwa na miungano pamoja na mashirika yasiyofungamana na Marekani na nchi nyingine za Magharibi, Misri imeomba uanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Balozi wa Iran nchini Russia: Nchi za BRICS zitakuwa na sarafu isiyokuwa dola
Jun 15, 2023 11:15Balozi wa Iran nchini Russia ameeleza kuwa mustakabali wa uchumi wa dunia utakuwa wa nchi za BRICS na kuwa nchihizo zitakuwa na fedha zao zisizotegemea dola.