-
Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku
Aug 25, 2018 06:44Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidhihirisha misimamo yake ya kibaguzi tangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na hata baada ya kuingia Ikulu ya White House.
-
Zarif: Kesi ya Iran dhidi ya Marekani ICJ ina nguvu sana
Aug 24, 2018 09:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, kesi ya Iran dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu, ICJ, ina nguvu sana. Ameongeza kuwa Marekani sasa imejikita zaidi katika masuala ya kipropagnada kuhusu kesi hiyo.
-
Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani
Aug 23, 2018 22:13Tokea wakati Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani hadi sasa, amekumbwa na changamoto nyingi ndani ya nchi. Moja ya changamoto hizo ni tuhuma kuwa Russia ilihusika katika kuingilia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 kwa maslahi ya Trump.
-
Newsweek: Mchakato wa kumuuzulu Trump unakaribia zaidi
Aug 23, 2018 02:39Jarida la Newsweek la Marekani limeandika ripoti kuhusu uamuzi wa mahakama ya nchi hiyo uliyompata na hatia mwenyekiti wa zamani wa timu ya kampeni za uchaguzi ya Rais Donald Trump na hatua ya wakili wa zamani wa kiongozi huyo ya kukiri kufanya makosa kadhaa na kusisitiza kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa kusailiwa na kuuzuliwa Trump.
-
Ungamo la kihistoria la Trump: Lilikuwa kosa kubwa Marekani kujiingiza Mashariki ya Kati
Aug 22, 2018 21:09Rais wa Marekani amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa lilikuwa kosa tangu awali kwa vikosi vya nchi hiyo kuwepo katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran
Aug 19, 2018 00:01Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.
-
Seneti ya Marekani yapasisha azimio dhidi ya sera za kidikteta za Trump
Aug 17, 2018 03:39Baraza la Seneti la Marekani limepasisha azimio linalokosoa mienendo ya rais wa nchi hiyo dhidi ya vyombo vya habari.
-
Magazeti ya Marekani yaingia vitani na Rais Donald Trump
Aug 16, 2018 09:04Zaidi ya magazeti 340 ya Marekani yakiwa na lengo la kukosoa misimamo ya chuki ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuhusiana na vyombo vya habari, yamechapisha makala zinazoshambulia na kulaani hatua za rais huyo.
-
Amnesty International lakosoa siasa za ubaguzi zinazotekelezwa na Trump
Aug 13, 2018 03:32Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International na katika kumbukumbu za mwaka mmoja za matukio ya Charlottesville, Marekani limekosoa siasa za ubaguzi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Trump aendelea kutoa vitisho dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran
Aug 07, 2018 23:46Rais Donald Trump wa Marekani amezitishia tena nchi zenye uhusiano wa kibiashara na Iran baada ya kupuuzwa amri aliyotoa ya kutekelezwa tena vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.