-
Tabia ya Trump ya kuchana nyaraka za White House yaelezewa kuwa ni "wendawazimu mkubwa zaidi"
Jun 11, 2018 23:47Wafanyakazi wawili wenye uzoefu wa muda mrefu, waliofukuzwa kazi katika Ikulu ya rais wa Marekani White House wamefichua kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump ana tabia ya kuzichana hati na nyaraka za serikali ambazo zinapasa kuhifadhiwa.
-
Wito wa mshikamano wa nchi za Ulaya katika kukabiliana na Marekani
Jun 11, 2018 23:10Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amebainisha masiktiko yake baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukataa kuidhinisha taarifa ya mwisho ya kikao cha viongozi wa nchi tajiri kiviwanda G7 ambacho kilimalizika juzi huko Quebec, nchini Canada. Merkel amebainisha wazi kuwa nchi za Ulaya hazipaswi kuitegemea tena Marekani.
-
Fox News: Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini ni madikteta
Jun 11, 2018 02:37Televisheni ya wahafidhina wa Marekani ya Fox News ambayo ina uhusiano wa karibu sana na serikali ya nchi hiyo imeibua gumzo na mijadala baada ya kusema kuwa Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini ni madikteta.
-
Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 11, 2018 02:27Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.
-
Ufaransa yamkosoa Trump, yasema ni mtu mwenye migongano
Jun 10, 2018 22:47Ofisi ya Rais wa Ufaransa imetangaza kuwa mienendo ya Rais Donald Trump wa Marekani katika mkutano wa nchi saba zilizopiga hatua kiviwanda maarufu kama G7 si thabiti na inagonga na kukinzana.
-
Mgogoro G7 baada ya Trump kupinga taarifa ya mwisho na kumlaani waziri mkuu wa Canada
Jun 09, 2018 23:10Rais Donald Trump wa Marekani amepinga taarifa ya mwisho ya mkutano wa nchi tajiri kiviwanda G7, huku akimlaani Waziri Mkuu wa Canada ambaye ni mwenyeji wa mkutano huo.
-
Futari ya kimaonyesho ya Trump yakabiliwa na maandamano
Jun 07, 2018 03:39Sambamba na kufanyika karamu ya futari iliyoiandaliwa na Rais Donald Trump wa Marekani, wanaharakati wa masuala ya kiraia wamefanya maandamano mbele ya Ikulu ya White House wakipinga siasa za chuki na ubaguzi za rais huyo dhidi ya Waislamu na wahajiri.
-
Jaji wa Marekani: Yumkini Trump akauzuliwa kutokana na kesi ya ufuska
Jun 06, 2018 02:53Jaji mmoja nchini Marekani amesema huenda Rais Donald Trump akauzuliwa iwapo atapatikana na hatia katika kesi ya ufuska iliyowasilishwa na mwanamke mmoja ambaye anadai kudhalilishwa naye kingono.
-
Balozi wa Marekani Russia: Kuna njia ndefu kabla ya kukutana Trump na Rais Putin
Jun 04, 2018 02:01Balozi wa Marekani nchini Russia amesema kuwa kuna njia ndefu sana kabla ya Marais Vladmir Putin wa Russia na Donald Trump wa Marekani kuweza kukutana.
-
Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani
Jun 02, 2018 22:12Philip Alston, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya umasikini amesema kuwa, siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani, zimesababisha kuongezeka dhulma ya kiuchumi nchini humo.